kengele maziwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2015
- 435
- 650
Arsenal’s contingency plan in the event that the club and Emery part ways is unclear. Parting ways with Emery is currently not an option that is being considered. [@David_Ornstein] #afc DailyAFCon Twitter
Shida sio Unai hawa wanapugana na kimvuli kilichomshinda wenger ndio hich kinamtokea Unai shida wamiliki tu wa timuBoss Aaron mzee wa Arsenal kwema, naona Unai anakuvuruga tu.
Wiki ijayao au wiki hii Darajani Carabao na Chelsea,naona unajisahaulisha na hizo mbili umepigia mechi ya Europa,ila kwenye ligi huna uwezo wa kushinda mechi tatu mfululizo za ligi.Mech mbili tayar bado moja wiki ijayo 3 zako nakata sio arsenal
Carabao sina mpango nayo haikupelek popote labda Fa unawezacheza ueropaWiki ijayao au wiki hii Darajani Carabao na Chelsea,naona unajisahaulisha na hizo mbili umepigia mechi ya Europa,ila kwenye ligi huna uwezo wa kushinda mechi tatu mfululizo za ligi.
Sawa we jipe moyo kwa matatizo ya wenzio wakati ww una matatizo lukuki.Carabao sina mpango nayo haikupelek popote labda Fa unawezacheza ueropa
Ila hata hivyo mwaka jana washakunywa mbili palepale kwao tena ile chelsea ya moto achana na wakina abraham ambao juz wamekula 4
Upande wa ligi labda nipate majeruhi ulilosema litatokea kama nipo fiti kaa mbali
Elewa nakwamnia carabao haina maana haikupeleki kokote labda Fa unaweza cheza europa kocha mwenye akili huangalia vipaumbeleSawa we jipe moyo kwa matatizo ya wenzio wakati ww una matatizo lukuki.
Mimi comment yako ninayo tutatafutana J5 baada ya mechi na Chelsea.
Sizitaki mbichi hizi,naona unaandaa mapema kauli za kujitetea.Elewa nakwamnia carabao haina maana haikupeleki kokote labda Fa unaweza cheza europa kocha mwenye akili huangalia vipaumbele
Nakwambia ukweli kuna kombe la kutolea macho kama epl na fa cup kwa england umewahi kusikia unaulizwa mmebeba carabao ngapi?Sizitaki mbichi hizi,naona unaandaa mapema kauli za kujitetea.
Ungeomba kazi wewe ya kumreplace Unai, unaonekana unaijua sana ArsenalShida sio Unai hawa wanapugana na kimvuli kilichomshinda wenger ndio hich kinamtokea Unai shida wamiliki tu wa timu
Carabao sina mpango nayo haikupelek popote labda Fa unawezacheza ueropa
Ila hata hivyo mwaka jana washakunywa mbili palepale kwao tena ile chelsea ya moto achana na wakina abraham ambao juz wamekula 4
Upande wa ligi labda nipate majeruhi ulilosema litatokea kama nipo fiti kaa mbali
Aiseeeeh kweli mkuu,Mkuu tutumie vizuri option ya Ignore list. Ukiona mtu hana cha maana anachochangia unamuadd tu.
Mimi humu napata comments za akina Aaron, yako na wengine wa Arsenal.
Wapiga kelele wala husumbuki nao. Sababu hata hujui kama wamepost.
Hiv nyie kwa ubahir wenu unafikir akija kocha mpya kuna kitu kitabadilika? Katoka wenger hapo kwa hiz mbwembwe zenu mkiamini kocha mbovu kiko wapi? Mpira sio wakina saka ni pesaUngeomba kazi wewe ya kumreplace Unai, unaonekana unaijua sana Arsenal
Nasahau nini? Si kila uchwao unapigwa wewe kuna mwaka umepita bila kubamizwa na united?Nimeamini mashabiki wa man u ni wepesi kujisahau. Juzi umemfunga chelsea 4 kwako sawa. Je chelsea hajakufunga 4 juzi juzi hapa? Subiri kesho kutwa. Uje na hizo adithi zako za 4 kama hutojipiga ban hapa.
Nani kasema Wenger ni kocha mbovu, usiwe kubwa jinga weweHiv nyie kwa ubahir wenu unafikir akija kocha mpya kuna kitu kitabadilika? Katoka wenger hapo kwa hiz mbwembwe zenu mkiamini kocha mbovu kiko wapi? Mpira sio wakina saka ni pesa