Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuna kocha anayetengeneza matatizo ya kujitakia,tuna kila kitu lkn tunafanya vibaya sababu ya mabeef yake ya kipuuzi bora tufungwe na kama ikiwezekana jumatano naye Liverpool tupige.
 
Tuna kocha anayetengeneza matatizo ya kujitakia,tuna kila kitu lkn tunafanya vibaya sababu ya mabeef yake ya kipuuzi bora tufungwe na kama ikiwezekana jumatano naye Liverpool tupige.
Mna kila kitu? Mnachekesha sana..sasa kama mna kila kitu City na Liverpool watasema nini. Mnakusanya watoto wa mtaani huko halafu mnasema mna kila kitu, pambaf.
 
Mna kila kitu? Mnachekesha sana..sasa kama mna kila kitu City na Liverpool watasema nini. Mnakusanya watoto wa mtaani huko halafu mnasema mna kila kitu, pambaf.
We nawe una nini hebu nenda katika kilabu chenu cha panya road....ungekuwa liverpool au city sawa lakini manyumbu khaaaaa shubamit
 
Tunawakumbusha tu arsenane, Jumatano kuna hii mechi.
 
Martiaaaaaaaal 0-3
Ahaa kumbe shabiki wa Man Utd
Yaani nyinyi
1.Mna matatizo ya kiutawala.
2.Kocha hamna
3.Wachezaji wenyewe wa kuokoteza,timu yenu haina uwezo wa kushinda mechi 3 mfulizo.
Alafu unanipigia kelele,kwanza unashika nafasi ya ngapi?.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…