Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mjinga sana.

Tumelilia pesa ya usajili. Ikaja.

Kisha huu ndiyo utumbo unaopangwa.

Yaani mood niliyonayo hapa, mtu akinikanyaga tu huo ugomvi wake si wa kipolepole.

Qummermerqe
ngapi ngapi bosi? natumia Freebasics
 
Ndugu zangu huyu Pepe kuna goli amekosa first half,hapana huyu tumepigwa kwa kweli
hilo ni garasha lililotukuka, ndio madhara hayo ya kununua wachezaji wa mafungu mafungu, hao ni wachezaji wenye hadhi ya kucheza bonanza.
By the way malizieni kulipa kiasi kilochobaki πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…