Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mimi awali nilihisi hivo, ila Mbona toka summer Ozil angeweza kusepa hata kwa loan,Ishu ya Ozil kutocheza inaonekana km kuna maagizo kocha anapewa kutoka kwenye uongozi ili kupunguza zile bonuses wanazomlipa,
Maana Mshahara wake ni kama unawaumiza vichwa sana bodi. Walikurupuka kipindi kile na hata Sanchez angesema abaki thn adai kulipwa pesa zaidi ya Ozil angepewa, sio kitu cha kawaida Ozil kupigwa bench hadi mechi za Carabao na Europa.
Mfano mzuri angalia Ramsey walishindwana ishu ya mshahara wakamuacha thn leo tunaanza upya kumtafuta Ramsey mwingine.
Wala hujakosea ,kwa huyu muhindiWakuu, wale Shelfield utd wanaweza kutusimamisha kwa jinsi walivyocheza na liverpool pale Kwao,mpira wanaucheza sio kubahatisha, pia kwa mbinu za huyu kocha, yaani kila mechi kwetu ni final ukizingatia itakuwa away match.
Nategemea kuona tunazidiwa possession,ubunifu na kila kitu mechi nzima, mwanzo hadi mwisho.Japo tunaweza tuka-win ugly coz ndio tulichobakiza nowadays.
Turkish newspaper Fotomac claim Ozil's wife Amine Gulse has given him the green light to leave #Arsenal for Fenerbahce. She believes living in Turkey would be a better environment for both of them.
Dada amine kaishaweka Tiki kwa ozil kuondoka
January maestro Mustapha ozil hatutakuwa naye