Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
LT11 kama unavyojua hata akianza sio DM. bellerin taarifa zinasema hajaonekana kwenye mazoez ya mwisho, itakuwa bado anatafutiwa fitness, holding 50/50 kuanza au atatokea sub, tierny pia anaweza kutokea sub ,kuanza 50/50Mkuu kuna tatizo gani kwa Lt11, Bellerin,Holding na Tierney. Au bado hawana match fitness?
Just take it from me bro. Guendouzi ni moja ya hazina walizonazo Arsenal.Hahaha hajanikosea. Ila dah ebwana akitoka Emery kutekwa na Guendouz unafuata wewe kisha kuna shabiki mmoja wa Man U hua naangalia naye mpira basi ukipoint udhaifu wa Guendouz jamaa atamwaga sifa hutaamini kama anashabikia Man U.
And he will keep improvingKwasasa GUE anaisaidia sana timu, huwezi kumcopare huyu na yule wa msimu uliopita
Karibu sana goonerWakuu kwema humu lakini?
I agree with you. Tena I would start him as a CF na auba akacheza kushoto na pepe kulia.100% I would start Martinelli over Saka today.... il go for Martinelli, Auba & Pepe as our front 3Saka has had 2 starts in a row and has been ok but I feel Martinelli deserves his chance now