Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mnaonaje tukicheza 4-3-1-2???

Leno
Chamber/bellerin, luiz/papa, holding, Tierney
Guendouzi, xhaka, ceballos
Ozil
Pepe and auba
Hii alitumia nahisi ilikua game na Watford, na tuliongoza 2-0 first half,lakini kama unavyomjua Emery kila siku anatusuprise
 
Kusanya mataji kwanza nafikiri baada ya miaka 50 ndio uje tupigiane hesabu.......huwezi kwa lolote na kwa muda huu wewe kujifananisha na GUNNERZ ni kutaka kuwachekesha watu wenye stress zao......


COYG
Naanzaje kujifananisha na gunners mzee. Nyie wachumba tu izo mickey mouse cups zinawapa jeuri? Mimi nina Europe Cups za kucheba
 
Hapa nakubaliana na wewe aisee. Unajua tatizo lililopo ni vipi kocha anaweza kuwachezesha xhaka, lt11, Guendouzi na ceballos katika first 11
 
Sidhani kama chambers anaweza kuanza Leo kama CD. There is a little chance for that
 
Hii alitumia nahisi ilikua game na Watford, na tuliongoza 2-0 first half,lakini kama unavyomjua Emery kila siku anatusuprise
Ile gemu huyu kocha wenge sana. Alimtoa ceballos na ozil kwa pamoja timu ikakosa muunganiko kabisa
 
Wadau Leo PEPE atafanya makubwa

Man u akili zao zipo kwa Auba

Lkn wanasahau pepe ni fire ,na beki zao zile nzito , pepe atawafanya kitu mbaya
 
Leo emery akifanikiwa kuweka kiungo vzr , tunaimaliza mech half time
Ningekuwa mimi ndio kocha Leo ningepanga kama ifuatavyo.

Leno
Chambers, holding, papa, Tierney
Guendouzi, torreira, Xhaka
Ceballos
Pepe, auba

Sub zangu ningekuwa na ozil for ceballos
Martinelli for pepe
Saka for ceballos

NB: Sub zitategemeana na matukio ya uwanjani such as injuries, underperformance, goal seeking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…