Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal were ready to loan him in the summer but Ozil wanted to stay and they may also have an issue again in January as he does not want to leave.
 
Mkuu na wewe umeliona hili eeeeh!! MUN huwa wanachangamka tukikutana nao tofauti kabisa na game zingine, na kocha wetu huyu tulienae wanaweza wakatuoshea aisee.Haahaha!
 
Tena nahisi Mustafi ndiyo atakua wa kwanza kutafutishwa timu. Ingawa hichi kifaa sijui kilikosea wapi.
Mustafi bado imani ipo na umri pia una ruhusu, kocha ajaribu tena combo ya mustafi na holding,
Kwangu mimi sioni umuhimu wa Upamecano ikiwa tuna Holding,Dino,saliba,chambers na Mustafi ni bora kumhitaji zaha aisee.kwasababu kuja kwa UPA kutafanya Holding au Saliba mmoja asugue wakati wote ni wazuri.
 
Klabu inaweza isirud sokon kutafuta LW iwapo saka ,martinel watakuwa bora zaidi, ila kwa beki itarud maana tayari Luiz ,sokratis umri unaenda na wana mikataba ya miaka miwili tu, hivo upemacano naona ndio target kuu,

Kwenye midfield Target ni partey ana release clause ya £50m ,
 
Ndugu,

Moja ya vitu ambavyo vitatokea kesho ni xhaka yumo kwenye first 11 panga pangua
 
Litakuwa ni jambo la uzuri Emeri pale nyuma akianza na hawa pamoja na David Luiz mbele ya Leno.

Yaani kulia Chambers. na Tierney kushoto, kati Luiz na Holding.

Kati Torreira na Xhaka

Ceballos nyuma ya Aubameyang, Pepe na Joe Willock kushoto.
Hapo kwa Willock ni bora aanze Saka asee.
 
There is no way tunaweza kumsajili zaha for now Castr He didn't do enough to push for the move and we had other options as well.

Sasa hivi pepe tupo nae, amesign long term contract, bukayo saka is coming kwa speed sana. Zaha ndio basi tena, kocha na bench lake wanajua wanachokifanya.
 
Mimi nadhani for now hatutamsajili Upamecano, why?? Because yeye ni central defender na position hizo yaani namba 4 na 5 tuko vizuri for the next 2-3 seasons. Saliba, Holding, Mavropanos, chambers na Mustafi. Ukiacha Luiz na Papa ambao wapo aged.
 
Litakuwa ni jambo la uzuri Emeri pale nyuma akianza na hawa pamoja na David Luiz mbele ya Leno.

Yaani kulia Chambers. na Tierney kushoto, kati Luiz na Holding.

Kati Torreira na Xhaka

Ceballos nyuma ya Aubameyang, Pepe na Joe Willock kushoto.
Guendouzi???
 
Beki kama mustafi ndiyo wanaosababisha arsenal inaonekana mbovu wakuuza tu
Mimi nadhani for now hatutamsajili Upamecano, why?? Because yeye ni central defender na position hizo yaani namba 4 na 5 tuko vizuri for the next 2-3 seasons. Saliba, Holding, Mavropanos, chambers na Mustafi. Ukiacha Luiz na Papa ambao wapo aged.
 
Guendouzi???

Guendouzi akija kipindi cha pili ndo anafaa zaidi.

Huyu dogo si defensive midfielder yeye ni attacking midfielder.

Ana mwono wa pasi za uhakika na msaidizi mzuri wa mashambulizi.

Ni mfano wa Cesc Fabregas.

Ndo maana Emery ni vigumu kumpanga hyu na Ceballos pamoja.

Hivyo Torreira hucheza kama DM na husaidia kulinda safu ya mabeki wa nyuma.

Kwahiyo kwenye mechi kama ya kesho ni jambo la uzuri tukinza na Xhaka, Torreira wakiwa na Ceballos mbele yao.

Baadae kutegemea na hali ya mchezo, Guendouzi anaingia kama Attacking midfielder.

Ila kuna mechi huwa anaanza kucheza endapo tu Torreira ana tatizo au amerudi kutoka kwenye majeraha.
 
Binafsi naamini Zaha yupo anapostahili kua. Akijichanganya kwenda timu kubwa hiyo timu itakua imeingia mkenge. Niliona sawa tu Emery aliposema hana mpango naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…