Pepe nae game imemkataa leo
Mkuu hii salisafa si ndio mlikuwa mnamtukana nayo mzee Wenger kila uchao?kaharibu salisafa za arsenal, kajaa kuaribu tu
Nakazia kabisa morihno hana kazi. Hizi si mechi za kupotezaNAANDIKA KWA HERUFI KUBWA HATUNA KOCHA NA HIVYO VITOTO VYAKE NI MSENGE HUU UWE MSIMU WAKE WA MWISHO
Baki zinacheza kama kuna mgomo baridi
Acha utani tumelipa 70m pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pepe anacheza kama kuku amekatwa kichwa
Kabisa mkuu hamna kitu paleUnai nae hii timu itamshinda upuuzi mtupu
Hahahahahahahahah umeshafika mkuu