Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Piga mboyoyo tu,Mzungu wa Premier betting na betting zote wanapiga hela sana kwa watu wa akili kama zenu. Wengine last week waliweka hela "eti" Arsenane angempiga Salah,Mane,Firminho. Na wiki hii tena Mhindi wa betting anapiga tena hela zenu.
N:B.Son amerudi
Majitu mengine ovyooooMzungu wa Premier betting na betting zote wanapiga hela sana kwa watu wa akili kama zenu. Wengine last week waliweka hela "eti" Arsenane angempiga Salah,Mane,Firminho. Na wiki hii tena Mhindi wa betting anapiga tena hela zenu.
N:B.Son amerudi
Oyaaaaaaaa vipi matokeo
Mkuu usijusumbue na hawa, Sisi tunataka tucheze mechi nao hapohapo kwao.Majitu mengine ovyoooo
Unaicheka arsenal kufungwa na Mabingwa wa ulaya. Unasahau timu lako lilipigwa na Palace tena home kwa aibu,
Leo unaongoza moja bila unakuja kupiga kelele
Haya 1-1 had sasa , na tunaombea muongezwe akili ikukae sawa
Wana timu mbovu , hawa Emery asipowafunga ajiuzuru tu,Mkuu usijusumbue na hawa, Sisi tunataka tucheze mechi nao hapohapo kwao.
Emery anipangieMkuu usijusumbue na hawa, Sisi tunataka tucheze mechi nao hapohapo kwao.
Piga mboyoyo tu , ukifika muda wako utajipiga banUyu Tammy akija Arsenal Nina uhakika kati ya Auba au Lacca moja wapo lazima asepe maana benchi litamuhusu...
In Lampard we Trust
Kila la kheri Chelsea