Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Umechambua vyema sanà!..MTAZAMO WANGU NA MAONI KUHUSU MECHI YETU IJAYO[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
JUMAMOSI HII SAA MOJA NA NUSU USIKU VIJANA WETU WATAKUWA PALE ANFIELD KATIKA HARAKATI ZA KUSAKA POINT TATU MUHIMU DHIDI YA MOJA KATI YA KLABU BORA ZAIDI YA SOKA DUNIANI KWA SASA[emoji460][emoji460][emoji460]NDIO NI KLABU BORA HILO HALINA UBISHI[emoji460][emoji460]NAAMINI NDIO TIMU AMBAYO STRIKER WAKE WAMEFUNGA MAGOLI MENGI ZAIDI LAST SEASON KULIKO WOTE EPL""""NDIO KLABU BINGWA ULAYA PIA PALE ANFIELD SIO UWANJA SALAMA KABISA KWA WAPINZANI[emoji460]WOTE TUNAKUMBUKA MESSI NA BARCELONA YAKE WALIINGIA PALE WAKALA 4 KWA SINIA
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]LAKINI HAYO YOTE HAYATUZUII SISI THE GUNNERS KWENDA KUCHUKUA POINT TATU MUHIMU PALEPALE ANFIELD ENDAPO TU TUTAENDA PALE NA MIPANGO MADHUBUTI YA KUTIMIZA LENGO LETU HILO KWA KUWA HATA IKITOKEA TUTAWAFUNGA HIYO HAITOKUWA MARA YA KWANZA[emoji460][emoji460]
NAJUA BAADHI YETU MTAKUMBUKA MAY 8 2005 TULIMPASUA LIVERPOOL 3-1 MKUMBUKE HII NI ILE LIVERPOOL ILIYOKWENDA KUMPIGA AC MILAN PALE UTURUKI NA KUCHUKUA UEFA[emoji460][emoji460][emoji460]WAO NA SISI MPAKA SASA NDIO TIMU PEKEE AMBAZO ZIMESHINDA 100%YA MECHI ZAKE PALE EPL[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
NAJUA WENGI WANAIPA NAFASI KUBWA LIVERPOOL YA KUIBUKA LAKINI KAMA YAKIFANYIKA HAYA HAPA TUNAWEZA KUWAFUNGA WALE[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
(1)KUANZISHA WINGA WAWILI WENYE KASI
(2)VIUNGO WAWILI WAKABAJI
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
WINGA WAWILI WENYE KASI HAPO NAMAANISHA PEPE NA AUBA SIKU HIYO WAANZIE KWENYE FRANKS[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]HII MAANA YAKE TUTAPUNGUZA KASI YA WALE MABEKI WAO WAWILI WA PEMBENI ALEXANDER ANOLD NA ROBERTSON[emoji460][emoji460]WENGI TUNAAMINI KWAMBA LIVERPOOL WANAWATEGEMEA SANA WALE WATU WAO WATATU WA MBELE MANE FIRMINHO NA SALAH KATIKA KUSAKA MATOKEO LAKINI UKIANGALIA KIUFUNDI HAWA MABEKI WAO NDIO CHANZO CHAO CHA MAGOLI YAO KARIBIA YOTE NA NDIO MAANA YULE ANOLD ANAJIKUTA NA ASSIST NYINGI SANA ZA MAGOLI KUSHINDA BAADHI YA VIUNGO[emoji460][emoji460]HIVYO KUWAWEKEA PEPE NA AUBA KULE PEMBENI KWA KIASI KIKUBWA ITAWAJENGEA HOFU YA KUPANDA MARA KWA MARA NA HIVYO KUPUNGUZA PRESHA GOLINI KWETU[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
(3)KUANZA NA VIUNGO WAWILI WAKABAJI HII MAANA YAKE ITATUPELEKEA TUANZE NA STRIKER MMOJA ILA KWA KUWA TUTAKUWA NA MAWINGA WENYE KASI HAIWEZI KULETA SHIDA[emoji460][emoji460]
IFAHAMIKE KWAMBA CHANZO KINGINE CHA MAGOLI YA LIVERPOOL UKITOA MABEKI WAO WA PEMBENI WANATEGEMEA PIA BREAK THROUGH YAANI WANAKUNYANGANYA MPIRA KISHA WANAANZA KUKUSHAMBULIA KWA KASI HAPO UKUTE NYIE NDIO MLIKUWA MNASHAMBULIA HIVYO BAADHI YA WATU WANAKUWA HAWAPO HUKU NYUMA WAMESHAENDA MBELE HIVYO WAKIKUPATA HAPA LIVERPOOL NI LAZIMA WAKUNYOOSHE UKIZINGATIA WALE CENTRAL DEFENDERS WETU HAKUNA MWENYE KASI KUZIDI WALE MABWANA WATATU"""""HIVYO VIUNGO WAWILI WA KUKABA INAKUWA NI RAHISI KUKABILIANA NA HIZI BREAK THROUGH ZAO[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
NAAMINI TIMU IKIANZA HIVI TUTAWAPA SHIDA SANA WALE MABWANA
LENO
NILES
MONREAL
SOKRATIS
LUIZ
TOREIRA
PEPE
XHAKA
CEBALLOS
LACAZZETE
AUBAMEYANG
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
IKIWA LINE UP TOFAUTI NA HIYO BASI TUMUACHIE UNAI TU MAANA NDIO MUAMUZI WA MWISHO
Come on GunnersView attachment 1187655View attachment 1187656
Kwa ninavyomjua Emery sitashangaa akiwaanzisha watoto wake wapendwa Joe Willock, Reiss Nelson na mpwa wake Matteo Guendouzi.Kutokana na press ya Emery Leo , kuna asilimia 90% kikosi kikawa hivi..
4-3-3 or 4-2-3-1
..Predicted Arsenal XI: Leno; Maitland-Niles, Sokratis, Luiz, Monreal; Guendouzi, Torreira, Ceballos; Pepe, Lacazette, Aubameyang
Kwa maelezo ya unai, na tunavyomjua Unai,
Xhaka kwakuwa ana injury ndogo na amefanya full training ,kwa unai hataanza, sawa na Ozil ,
lakin ameahid Pepe atapata dakika za kutosha hivo ataanza.
Amepigiwa kelele sana tweeter , kwakuwa xhaka bado hayupo fit 100% , Mateo ataanza na kina lt11 ,ceballosKwa ninavyomjua Emery sitashangaa akiwaanzisha watoto wake wapendwa Joe Willock, Reiss Nelson na mpwa wake Matteo Guendouzi.
Hii Line up wengi tunategemea ianzishwe ipo strong sana, kama akifanya anavyojua yeye basi tunamwacha na maamuzi yake yamtokee puani.It may well be that Torreira's energy and physicality earns him the spot but few Arsenal fans would complain if Emery proved willing to trust a youngster in Willock who has consistently put in the hard yards early in the season.
Predicted Arsenal XI:
Leno; Maitland-Niles, Sokratis, Luiz, Monreal; Guendouzi, Torreira, Ceballos; Pepe, Lacazette, Aubameyang
Matteo midfield yetu inamhitaji kuliko wengi wetu tunavyodhani, mid ya Xhaka ni bure kabisa kwenye game ya kasi kama hii,Xhaka yule labda game za Man u/ Man city za slow mo. lakini kwa liverpool dk90 mchakamchaka hawezagi kabisa huwa anapotezwa mbaya, kwangu naona bora hata kwa kuwa hayupo fit enough.Kwa ninavyomjua Emery sitashangaa akiwaanzisha watoto wake wapendwa Joe Willock, Reiss Nelson na mpwa wake Matteo Guendouzi.
Spurs na Man Utd wametuzidi Midfield kwa viungo gani?Acha uongo ,hiyo beki mbovu kwa kigezo gani?je unajua pia Liverpool ndio timu yenye midfield mbovu kuliko top 6 zote?
CB wapo David Luiz aliechuja na Sokratis/Mustafi halafu right back yupo dogo mmoja hawezi ubeki anaitwa Ainsley Maitland-Niles halafu unasema navyosema mna beki mbovu kuliko Big six zote naongea UongoWewe jamaa huwa hujui kuchambua na kuanalyse mpira ,Mara nyingi huwa unaenda chaka sana ,
Unasema arsenal ina beki mbovu kwa kigezo gan, una takwimu zozote msimu huu kuwa arsenal INA beki mbovu ? Mbona huzungumzii pia kuwa Liverpool ndio klabu kwasasa yenye kiungo kibovu ,unamuachaje Chelsea mwenye beki mbovu ? Liverpool mpaka sasa haijatoa cleansheet sababu ya midfield mbovu.
Hiyo mechi mm siizungumzii sana ,mpaka itakapotoka lineup ,
Ila usiichukulie poa hiyo mechi, arsenal now tunakuja kivingine, na labda kama hujui anfiled arsenal huwa tunashindaga pia ,
justifying my claim CB patnership yenu ni bora au iko sawa na CB gani ya top Six pale EPL?how many goals have we conceded in comparison with other top 6, to justify your claim?
Wewe jamaa huwa ni mkurupukaji sana na sio Mara moja , ni Mara zote unaendaga chakaCB wapo David Luiz aliechuja na Sokratis/Mustafi halafu right back yupo dogo mmoja hawezi ubeki anaitwa Ainsley Maitland-Niles halafu unasema navyosema mna beki mbovu kuliko Big six zote naongea Uongo
Pale Spurs CB wa low Quality labda Toby Alderwereild ila akija hapo Arsenal hamna wa kumlinganisha nae kazi anayopiga Center back
Ndio tatizo la ushabiki maandazi,Spurs na Man Utd wametuzidi Midfield kwa viungo gani?
Beki unategemea Sokratis ambae sio mzuri David Luiz ambae sio mzuri Maitland-Niles ambae anajua kupanda kudefend hajui kama Sead Kolasinac na Shkodran Mustafi ambae amejaa makosa kibao halafu ndio Centre-back
Mna beki mbovu sana nikimnukuu Harry Redknapp mpaka akasema ni rahisi kwa Wolves na Leicester kuingia top four sio Arsenal
Yaan mech mbili tayari usha conclude arsenal INA beki mbovu? Ww jamaa acha mahabajustifying my claim CB patnership yenu ni bora au iko sawa na CB gani ya top Six pale EPL?
Ila nyie Chelsea mwenye Zuma mtamalizaArsenal hamalizi TOP 4 beki za ovyo sana