Akicheza na Three at the Back itawaaccomodate wote kwa pamoja luiz,chambers na Papa ,nadhani ni option nzuri zaidi kwa uhakika wa kujilinda.
Matteo na willock kwa muda huu kuwa regular starter mimi naona bado mkuu, sijui wewe unaonaje?
Kocha anaweza kufelishwa na uchaguzi anaoufanya, maana kuna hawa madogo naona wanaenda kujihakikishia namba for nothing,
Nelson huyu ameshaiva ikiwezekana apewe namba ya kudumu.