Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Unatoaje 40 kwa benchwarmer ? Huo ujinga ndio bodi haitaki , ndio maana walikuwa tayari kutoa 60 kwa Dayot ambaye amethibitika ni bora na anacheza daily,Unaongea nn wewe rugani 24yrs alikuwa anapatikana kwa loan ya miaka 2 na option ya kununua kwa 40m
Ni kweli ana shida hiyo. Same kwa RuganiLuiz simuamini sana huyu jamaa anakaba kwa macho
Rugani haikua target, hiyo ilikua ni short term obligation ambaye kapatikana Luiz ,priorities zipo nyingine, kwa hiyo usikariri nyumba na watu, ielewe mitaa mzee.Unaongea nn wewe rugani 24yrs alikuwa anapatikana kwa loan ya miaka 2 na option ya kununua kwa 40m
Nisema tu ukweli Arsenal na Spurs ndo timu zilizofanya usajili mzuri, timu za kutoka Manchester zimefanya usajili wa gharama ila wa kawaida (note: ni usajili mzuri kwa upande wa makaratasi) ivyo tunategemea makombe mengi kwenye clabu hizi mbili za kutoka London.
Kama Arsenal musipobeba makombe zaidi ya mawili msimu huu basi Unai aondoke tu. Na timu yenu itakuwa ni kama genge la waimba taarabu tu,,
Unatoaje 40 kwa benchwarmer ? Huo ujinga ndio bodi haitaki , ndio maana walikuwa tayari kutoa 60 kwa Dayot ambaye amethibitika ni bora na anacheza daily,
Potential kwa Niles sioni kabisa,huyu kinachofuata kwake ni kuuzwa kama Iwobi na Jenkinson.Hata Niles ni mdogo ujue.
Matteo anahold mpira ila kuchukuliwa rahisi, pia pasi zake ni za kusakazia
Usiumie moyo, huu ni mpira tu.Sasa juve wakisema wakuuzie beki wao chaguo la kwanza anaanzaje kuja katika timu ndogo kama arsenal wazee wa europa league
Wao wanaona wamesajili vizuri, ngoja tuwape heko.Yaani unafananisha usajili wa man City na taka taka za arsenal we sio mzima
Mbona povu mkuu tatizo nini, wewe subir ligi ianze, kuja kumalizia stress humu sio suluhishoSasa juve wakisema wakuuzie beki wao chaguo la kwanza anaanzaje kuja katika timu ndogo kama arsenal wazee wa europa league
Ni kweli arsenal wamefanya usajili mzuri ila tusitegemee makombe haraka kiasi hicho, tutegemee kikosi chenye ushindani, wakati mwingine makombe niseme sijui ni zali baada ya kuwa na timu ya ushindani, kombe ambalo kuna asilimia kubwa kubeba arsenal ni Europa tu nayo sio 100/100Nisema tu ukweli Arsenal na Spurs ndo timu zilizofanya usajili mzuri, timu za kutoka Manchester zimefanya usajili wa gharama ila wa kawaida (note: ni usajili mzuri kwa upande wa makaratasi) ivyo tunategemea makombe mengi kwenye clabu hizi mbili za kutoka London.
Kama Arsenal musipobeba makombe zaidi ya mawili msimu huu basi Unai aondoke tu. Na timu yenu itakuwa ni kama genge la waimba taarabu tu,,
Niles hamna kitu mkuu, ana makosa mengi kama Mustafi, anapata game time sana ila anashindwa kuimprove, paka nawaza kwenye tough games kama Liver na Spurs ikiwa belle hajarudi sijui itakuaje kwenye upande wake maana ni njia ile.
Matteo yuko vizuri sana anaprogress, refer umri wake, kumbuka kiungo anaeweza kuhold mpira ni yeye tu ukimwacha Ozil. Xhaka hawezi kuhold but ni mzuri kwenye distributions, ila matteo anahtaj stamina tu ya kupambana na viungo wagumu.
Wewe baki na man u yako na magwaya wakoNarudia tena iz mbwembwe zenu za usajiri nyie ndomtashangaza kwa matokeo mabovu