Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Dogo anajua,atatusaidiaKieran Tierney has been named Scottish PFA Young Player of the Year more times than any other player in the award's 42-year history. #AFC
2015-16
2016-17
2017-18View attachment 1176490
Niles hamna kitu mkuu, ana makosa mengi kama Mustafi, anapata game time sana ila anashindwa kuimprove, paka nawaza kwenye tough games kama Liver na Spurs ikiwa belle hajarudi sijui itakuaje kwenye upande wake maana ni njia ile.Nimependa bei tuliyopata kutoka kwa Iwobi. Actually nilifikiri hana thamani ile, ingawa naamini tulitakiwa kubaki naye. Liva wamebaki na Origi kwa ajili ya kiwango alichoonyesha mechi 2 tu.
Mustafi siyo mbaya. Takwimu zake zipo vizuri kuliko Virgil, isipokua midfielder yetu haikua nzuri hivyo mpira ulikua unashinda mno kwa Mustafi.
Nina imani na Bellerin na Holding. Too bad Niles simuoni katika potential first XI yetu, ni mchezaji poa aliimprove kila mechi.
Guendouz simkubali kwakua hana stamina at the same time hana spidi. Surprisingly na control hana. Kwa m
ninavyomuona nahisi bado yupo na hizo shortages.
Kama PES player wa PS2 Lacazette inapendeza akitokea wing ya kulia Pepe ya kushoto na Aubameyang akae katikati. Pepe na Laca ni fighters, wanakaa na mpira vizuri kumzidi Auba. Auba ni scorer mzuri kuliko kua mleta mipira kwenye dimba.
Kumuweka pembeni means kupoteza mipira eneo hilo.
Msimu uliopita Laca alikua na assisst nyingi kuliko Ozil. Ni ajabu kidogo ukizingatia nafasi zao uwanjani. Ozil akiwa on fire hua inakua mara mbili ya kawaida akiwa nyoro hua inakua mara 7 ya kawaida, pia hana consistency. Ingawa siyo swala kwa kipindi hichi tulichompata Cebalos.
Xhaka na Toreira walikua poa, hope moto ni ule ule. Pia formataion ya 3 4 1 2 naona ni nzuri ila isichezwe kwa kila mechi.
Ni formation ya kukaba mno wakati mechi zingine tunataka kushinda, pia ni formation ngumu ikiwa mid yako ni Guendouz na Ozil.
Naipa striking yetu 79%
Midfield 77%
Beki 78%
Hiyo ni kwa sasa.
Celtic wamelia sanaDogo anajua,atatusaidia
Mustafi abaki, nakubali mkuuElneny aende. Hiyo bila kuuliza.
Mustafi abaki naona huu usajili utamuonyesha kua yeye ni beast
Belle anarudi game ya Villa, sept 21, sijajua kuhusu Rob na Tierney hao ni watu muhimu sana, Niles anazingua yule dogo game ya Barca pre season nini alifanya kile??? europa league final kwny upande wake ilikua njia, anachnganyikiwa sana tkishambuliwa, goli zote zilipita kule.Game ya kwanza na ya pili ni dhahir hatutakuwa na kikosi kinachokaribia kuwa strong.
Nafikir mpaka pepe azoee kidogo, Bellerin na Tierney wawe fiti, hapo ndio tutapata kikosi chetu bora.
Kesho Kocha atafanya press kuhusu mechi ya Newcastle
Yule ile namba sio yake , yule ni CM toka kikosi cha watoto na kina iwobiBelle anarudi game ya Villa, sept 21, sijajua kuhusu Rob na Tierney hao ni watu muhimu sana, Niles anazingua yule dogo game ya Barca pre season nini alifanya kile??? europa league final kwny upande wake ilikua njia, anachnganyikiwa sana tkishambuliwa, goli zote zilipita kule.
Naelewa mkuu, lakin kuna wachezaji wengi sana wamecheza namba zisizo asili na kwa performance nzuri, Delph LB,OX WB,Nacho monreal as CB,et alYule ile namba sio yake , yule ni CM toka kikosi cha watoto na kina iwobi
Maybe we signed David Luiz over Rugani because we have assurances that next year we are signing Upamecano. Therefore, signing Rugani would be counterproductive given the price and age.
Niles hamna kitu mkuu, ana makosa mengi kama Mustafi, anapata game time sana ila anashindwa kuimprove, paka nawaza kwenye tough games kama Liver na Spurs ikiwa belle hajarudi sijui itakuaje kwenye upande wake maana ni njia ile.
Matteo yuko vizuri sana anaprogress, refer umri wake, kumbuka kiungo anaeweza kuhold mpira ni yeye tu ukimwacha Ozil. Xhaka hawezi kuhold but ni mzuri kwenye distributions, ila matteo anahtaj stamina tu ya kupambana na viungo wagumu.