Nisema tu ukweli Arsenal na Spurs ndo timu zilizofanya usajili mzuri, timu za kutoka Manchester zimefanya usajili wa gharama ila wa kawaida (note: ni usajili mzuri kwa upande wa makaratasi) ivyo tunategemea makombe mengi kwenye clabu hizi mbili za kutoka London.
Kama Arsenal musipobeba makombe zaidi ya mawili msimu huu basi Unai aondoke tu. Na timu yenu itakuwa ni kama genge la waimba taarabu tu,,