Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hivi nilipokubomoa EL final uliwaombaga pia?Zaha akija Nitaomba uongoz wa jf unipige Ban ya siku 2 kwa heshima yake
Tierney on Arsenal fans tracking his flight: "That's mad. It's the first time I've heard that to be fair, so I don't know how to react but fair play to them!" #afc
Tupo pamoja kaka ,Mungu akubariki sana Rich, afanikishe malengo yakoMkuu Aaron,
Hongera na shukrani sana kwa kutumia muda wako hapa JF kutupa mambo mazito ya mbolea.
Mimi nilikuwa nipo huko nyuma ya pazia na maskauti wengi tu nikijifunza namna dirisha la usajli linavyoendeshwa.
Nna malengo ya kuja kuwa Super agent.- 🙂
Next, Newcastl United.