Hapana bro, it has nothing to do with FFP. It was a technique used ili klabu za wachezaji tunaowataka zisije zikatu-overquote.
Misimu minne au mitatu nyuma wenver went public and declared arsenal kwamba ina financial muscles za kununua wachezaji baada ya kupitia kipindi kigumu cha Emirates stadium dept repayment, matokeo yake ikawa kila tunapokwenda kuulizia mchezaji tunapigwa bei ya juu sana.
Ile ishu haikupokelewa vyema na board ya arsenal na Wenger alibeba part of the blames for the same. So, the club learned its lesson and this year arsenal has become a winner in a transfer market. Imefanya business nzuri sana