Tukikamilisha Usajili wa beki, nafkir tutakua tumekamilika kiasi chake kwa ajili ya mpambano, lakn kwa upande mwingine kuna changamoto kadhaa za kiufundi ambazo zimekua zikitugharimu kwa mda mrefu nataman emery azifanyie kazi sasa hasahasa hii ya kuchezesha wa chezaji nje ya namba zao za asili. hii ili mgharimu sana bwana wenger mfano kumchezesha ozil winger badala ya kumi na ox pemben badala ya kiungo, na ata sasa hivi kuna Niles anacheza mbili lakn kiasili Niles n bonge la midfielder mwenye pumzi zote ana kaba na kuanzisha mashambulizi haraka ana dribble skills za hali ya juu, hapotezi mpira kirahs na mashuti pia ana piga lakn kwa sasa hii burudani hatuipat, yaan kumchezesha mchezaj offposition n kama kumpunguza makali hivi, ule ubora na Ubunifu wake uhupati wote.
Afu inshu nyingine n kupanga kikosi kwa mazoea yaan mchezaj kwa sababu yuko first eleven basi lazma aanze yan ata kama kiwango kime shuka au unakuta mchezaj fulan ua aanzagi ila siku hiyo kaanza afu unaweza kuta game ime mkubali lakn bado atafanyiwa sub kisa sio regular starter hii imewapooza wachezaji wengi sana podolski, Perez, cambel, gnabry, debuchy, Paulista, coquelin ata chambers mwenyewe nakumbuka alikuja wa moto sana ali cover nafas ya martaseker(alikua majeruh) alivyo pona chambers a kaanza kula benchi na moto wake, ata ox isha mkuta hii kwenye mechi yetu na man yu ad van persie aka mind sana. Ofcoz hizo n enzi za Wenger. Lakn ata kwa emery hayo yamejitokeza ingawa sio sana kwa wachezaj kama, Matteo, toreira na lacca, hii inapunguza confidence kwa wachezaj na ata nia ya kujituma ina pungua mtu akiwa kwenye exposure ya kiwango mwache akiwashe mpaka apoe mwenyewe ndo aanze kufanyiwa rotation,siku hazifanani viwango ua vna panda na kushuku, cha muhimu n kucheza na biti . Na amini ili likifanyiwa kazi tutakua unstoppable let's go gunners n zamu yetu!