Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Toreirra NO. 11 Siyo sahihi
Elneny NO. 4 Siyo sahihi
Pepe NO. 19 Siyo sahihi
Koscielny No. 6 Siyo sahihi

Watafute jinsi ya kufanya rotation kwa hizo namba.
 
Toreirra NO. 11 Siyo sahihi
Elneny NO. 4 Siyo sahihi
Pepe NO. 19 Siyo sahihi
Koscielny No. 6 Siyo sahihi

Watafute jinsi ya kufanya rotation kwa hizo namba.
Toreira haina tatizo,

Kuna fagio linapita kuondoa All deadwoods , kwahiyo Elneny hiyo namba inabaki empty

Koscielny anaondoka hiyo namba pia inabak empty


Pepe hiyo namba anaipenda toka lille alikuwa anavaa hiyo.
 
Toreira haina tatizo,
Kuna fagio linapita kuondoa All deadwoods , kwahiyo Elneny hiyo namba inabaki empty
Koscielny anaondoka hiyo namba pia inabak empty
Pepe hiyo namba anaipenda toka lille alikuwa anavaa hiyo.
Endapo Koscielny akiondoka, basi 6 apewe Toreirra.
 
Toreirra NO. 11 Siyo sahihi
Elneny NO. 4 Siyo sahihi
Pepe NO. 19 Siyo sahihi
Koscielny No. 6 Siyo sahihi

Watafute jinsi ya kufanya rotation kwa hizo namba.
Vipi zidane namba 5 ilikuwa sahihi!! Thierry henry no 14..

Hakuna usahihi wa namba ya jezi mgongoni ila ni mazoea yetu tu, ukisema hainogi sawa ila sio kwamba sio sahihi..
Tungezaliwa na kukuta mchicha unaitwa matembele na matembele yanaitwa mchicha tungepokea bila kuuliza..
 
Unai Emery akimuongelea Pepe: “Nicolas ni winga mwenye uwezo mkubwa na kipaji ambae alitakiwa na timu kubwa ulaya. Kumsajili winga bora lilukua moja ya lengo letu kwenye dirisha hili na nimefurahi amejiunga " #afc
 
Vipi zidane namba 5 ilikuwa sahihi!! Thierry henry no 14..
Hakuna usahihi wa namba ya jezi mgongoni ila ni mazoea yetu tu, ukisema hainogi sawa ila sio kwamba sio sahihi..
Tungezaliwa na kukuta mchicha unaitwa matembele na matembele yanaitwa mchicha tungepokea bila kuuliza..
Sorry namaanisha Haipendezi....

Binafsi navaa 99 au 28 😀
 
With 7 days to go in the transfer window hopefully we get Tierney and a CB.

Kama umegundua Sanllehi amewanyamazisha watu wengi kama Ian Wright na Pierce Morgan.

Kuna kina dalili mwakani Arsenal ikiingia "top four" ikafanya usajili mkali sana.

Kwa bajeti ndogo.
 
USAJILI NEWS! Beki wa kati Krystian Bielik kusajiliwa na Derby County na fedha kutumika kukamilisha usajili wa Kieran Tierney.

Meneja wa Derby County Philip Cocu amefanya maulizo juu ya beki kijana wa kati Krystian Bielik na huenda akasajiliwa na klabu hiyo kwa pauni milioni10.

Majadiliano yanaendelea na ikiwa makubaliano yatazaa matunda basi Bielik atajiunga na Derby County.

Fedha itakayopatikana hapo inaongezwa kukamilisha usajili wa Kieran Tierney wa Celtic ya Scotland.
bielik0108.jpg

Krystian Bielik

Bielik ambae ana umri wa miaka 21 alisajiliwa na Arsenal mwaka 2015 kwa kiasi cha pauni milioni 2.4 na amekuwa akichezea timu mbalimbali kwa mkopo ya mwisho ikiwa timu ya Charlton Athletic.

Hivyo basi, kukamiisha usajili kwa msimu huu Arsenal inaweza kabisa kwenda hadi mwisho wa siku ya Deadline ambapo mabeki mkoba Daniel Rugani na beki wa kushoto Kieran Tierney watatangazwa rasmi kuwa wachezaji wa Arsenal.

Stay Tuned.
 
Nicolas Pépé:

"My agent told me 4 clubs were interested in me. I asked him which ones and he said Napoli, Liverpool and Manchester United. I asked him which was the 4th one and he mentioned Arsenal. There and then I told him we're going to Arsenal" [Arsenal]
IMG_20190801_190318.jpeg
 
KHEDIRA TO ARSENAL ??

Sami Khedira , class '87 midfielder, is always a goal of Arsenal, a love returned since the player in recent weeks has witnessed a race of the Gunners, who is awaiting the moves in Juventus. The German in fact does not fall within the plans of the Juventus company and should terminate his contract to facilitate the search for an accommodation for the next season.

To unblock the situation, according to our editorial staff, there is a need for the Piedmontese club to pay a severance pay to the German player who would then close with the London club.

Screenshot_2019-08-01-21-22-08.jpeg
 
Nicolas Pepe on if he received advice from any former Ivorian Arsenal player: “Yes, especially Kolo Toure, who was with us on the [national team] squad] as an assistant coach.” #afc
 
Ian Wright on the Pepe signing:


"I’ve got to give credit to Raul & the senior leadership of our club. This is exceptionally good business. This is unbelievable. This is the kind of business #Arsenal have missed for so long"
 
Ian Wright:

"We could mention that other fool [Gazidis] that was there – but I won’t because I’m in a positive vein now. This is the kind of player [about whom] we’d usually be saying ‘I wish we’d have got him’. Well, we’ve got him" #Arsenal
 
Wright:

"It’s a deal we assumed would never be done but it’s brilliant. This is the kind of player who, once he settles in, I personally think we’ve got a world-class player on our hands" #Arsenal
 
Back
Top Bottom