Mpaka sasa ndio eneo linalohitaji quality, na Bodi imeliona hilo, tarajia Sajiri zote zinazokuja zitaegemea eneo hili
Mkuu uliamini kabisa Arsenal ina bajeti ya €40 tu kusajili? Hiyo ni fedha ndogo sana hata kwa club za championship.Wabobezi mnisaidie kuelewa. Budget ya Arsenal tuliambiwa ni €40m. Sasa wamesajili Saliba €27m, pepe kwa installment ya €20m kama kianzio, maltinell kwa €8m sasa tukipiga hesabu sitayari budget yetu imeisha? Sasa huu mwendelezo wa kusajiri utawezekana kweli, Au mimi kuna mambo nayaelewa tofauti?
Huyu mchezaji sijawahi KumuonaDerby County wanaweza kushinda vita vya kumsajili mlinzi wa Arsenal Krystian Bielik kwa kiasi cha £10m Pia alipata offer kutoka Italy kwa kiasi cha €4m & €7m lakini atajiunga na Derby.View attachment 1167821
Hizo ni propaganda tu za viongozi wa Arsenal ,Wabobezi mnisaidie kuelewa. Budget ya Arsenal tuliambiwa ni €40m. Sasa wamesajili Saliba €27m, pepe kwa installment ya €20m kama kianzio, maltinell kwa €8m sasa tukipiga hesabu sitayari budget yetu imeisha? Sasa huu mwendelezo wa kusajiri utawezekana kweli, Au mimi kuna mambo nayaelewa tofauti?
Alikuwepo enz za Wenger ,akapelekwa kwa mkopo toka akiwa mdogo huko championship, amefanya vzr ,halafu anacheza DM NA CB, karud sasa na anahitaji namba sio loan tena, sasa inaonesha emery hana mpango nae , hivo anauzwaHuyu mchezaji sijawahi Kumuona
Kwanza hakuna klabu inayotajaga bajeti yake ya usajir hadharan , huwa ni udaku tuMkuu uliamini kabisa Arsenal ina bajeti ya €40 tu kusajili? Hiyo ni fedha ndogo sana hata kwa club za championship.
Club kama Aston Villa imetumia €120m na imetoka Championship huko. Itakua club kubwa kama Arsenal. Changamoto ninayoiona kwa sasa wachezaji wamekua adimu sana kwenye soko, na waliopo bei imekuwa inflated sana.
By Tuesday ni tarehe ngapi? Na usajiri unafungwa tarehe ngapi?According to the Scottish Daily Mail's @mcgowan_stephen, Kieran Tierney could finally become an #Arsenal player by Tuesday. https://t.co/rkwq2DLD6N
Kwan ambacho hujaelewa nini, mwandishi nimemkopi kama alivyosema ,wanaoelewa wanajua anamaanisha kutambulishwa ,na hilo gazet ni kutoka Uskoch kabisa, najua unadhan kwa kuwa dirisha linafungwa Tarehe 7 bas lazima uwe umemtambulisha na mchezaji, anachomaanisha mwandish kufikia jumanne atakuwa Mali ya arsenal it means KUTAMBULISHWA.By Tuesday ni tarehe ngapi? Na usajiri unafungwa tarehe ngapi?
Kabla ya kukopi fikiri.
Oke, ngoja niskie 31st kwamba "Arsenal imesajiri KT na Tuesday anakwenda kutambulishwa"Kwan ambacho hujaelewa nini, mwandishi nimemkopi kama alibyosema ,wanaoelewa wanajua anamaanisha kutambulishwa ,na hilo gazet ni kutoka Uskoch kabisa,View attachment 1167925
Hizo ni propaganda tu za viongozi wa Arsenal ,
Na hiyo bajeti kuwa 40-45 juzi wamekataa sio kweli japo bajeti ni LIMITED kwakuwa tunacheza Europa , na kwa mwaka tunalipa mishahara £240m na mapato yanaingia £500m ,
Ukweli ni huu ,kusema bajeti ni 40-45 waliovujisha ni hao hao viongoz wa Arsenal ,kwa malengo maalumu, ili watakapomuhitaji mchezaji , wasipigwe na waonewe huruma ,au wafanye biashara bila kulanguliwa,
Jiulize Dili la Pepe, Rais wa Lille alithibitisha kuna OFA za timu hizi MAN U, LIVERPOOL, ARSENAL ,NAPOLI, PSG na klabu mbili za Spain, zote anasema ziliweka mezani €80m
Inakuwaje mwisho wa Siku Mawakala wa pepe wanaonekana Italy kukamilisha dili LA pepe, halafu upepo unabadilika na Lille wanakubali kuchukua hela ya mafungu ya Arsenal na kuacha CASH za Napoli, PSG ,Na Man u,
Utagundua sio kweli Arsenal kalipa kwa installment ,ni Usanii ili kuingia kwa fitna kwenye soko ,
Hata Dili la SALIBA ni hivo hivo ,maana Tottenham alikuja na CASH €30m , jiulize inakuwaje Saint etiene waache CASH €30M wachukue €30m ya mafungu fungu ya Arsenal?
Kwahiyo Hizi ni fitna tu za usajiri
Mbona kawaida ,mfano pepe kasajiriwa toka juzi, anatambulishwa leoOke, ngoja niskie 31st kwamba "Arsenal imesajiri KT na Tuesday anakwenda kutambulishwa"
Any proof kutoka Arsenal website ya kuthibitisha Pepe amesaini juzi?Mbona kawaida ,mfano pepe kasajiriwa toka juzi, anatambulishwa leo
Nimesema kasajiriwa juz, kasain Jana ,kutambulishwa Leo,Any proof kutoka Arsenal website ya kuthibitisha Pepe amesaini juzi?
Uzuri wa Kieran Tierney anacheza RB,LB na CBNimekuelewa sana..ngoja tune kama Tierney tutamnasa ila kwangu nikiingia YouTube naona dogo ni moto