Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu hiki ndio kilichomuondoa sven, baada ya kuondoka Gazdis uongozi mpya ukaleta utaratibu wao wa kufanya kazi na maagent, yeye alisema arsenal inamiliki kampuni ya data analysis hivyo hakupenda negotiations za kutumia agents, vp maoni yko mkuu AROON unasimamia wapi upande wa sven, au sanllehi?Jorge's MENDES ndiye wakala wa Ruben Diaz
Jorge's Mendez kwasasa anafanya kazi na Arsenal kwenye baadhi ya dili ....
View attachment 1165570
Kufuatia dili la Pepe kuwa ni Kubwa (£80m) si rahisi kwa Arsenal kusajili tena Mchezaji wa more than £50m+ kwa dirisha hili.
Image:
Arsenal head of football Raul Sanllehi with football agent Jorge Mendes, who has reportedly been working on Arsenal’s behalf to secure the signing of Nicolas Pepe, at the Emirates Stadium todayView attachment 1165533
Kwanza upo sahihi , timu ilikuwa haifanyi kazi na maagent ,hili lilikuwa tatizo kupata Top players,Mkuu hiki ndio kilichomuondoa sven, baada ya kuondoka Gazdis uongozi mpya ukaleta utaratibu wao wa kufanya kazi na maagent, yeye alisema arsenal inamiliki kampuni ya data analysis hivyo hakupenda negotiations za kutumia agents, vp maoni yko mkuu AROON unasimamia wapi upande wa sven, au sanllehi?
Kwanza upo sahihi , timu ilikuwa haifanyi kazi na maagent ,hili lilikuwa tatizo kupata Top players,
Sven anadai hakupewa power kwenye maswala ya usajiri ni kama Emery na Raul walikuwa hawampi ushirikiano ,
Ila na appreciate uwezo na jicho la kuona vipaji la SVEN,
Gazid alitaka kuharibu klabu na matatizo yote ya klabu ana husika kwa sehemu Fulani,
Kuanza kuwatumia mawakala ni moja wapo ya Sera nzuri ambayo haikuwa sera ya Arsenal, hivo itasaidia
Raul ni master mzuri wa fitna
Hussy fahmy Chief negotiator ni mtaalamu wa kuandaa structure za Installment
Kuna Edu , huyu kazi yake ni kusaka vipaji Hasa Brazil,
Hivo uwepo wa hii Management mpya na project yao Ni Mwanzo mzuri ,baada ya project ya kina Gazid na genge lake kufeli.
Kitu kingine baada ya FAMILIA YA STAN KREONKE kupata full ownership ya 100% Arsenal ,titarajie wakiwekeza hata kama ni kidogo , maana hawa kuwa wakimiliki his a zote ,
Kule USA ana timu yake ambayo anaimilik kwa 100% ,mwaka Jana aliwekeza £1.5billion ,
Hivo KREONKE SPORT INVESTMENT(KSE) kwasasa wamejinasibu kuwa wana nia njema na watawekeza ,
Tusubiri tuone
Namkumbuka David Dein ,dah alikuwa ana damu ya Arsenal huyu Mtu, anaondoka Arsenal tunaanza kupata tabu,Sanllehi ni mfanyabishara na anafahamu masuala ya kufanya deals tangu akiwa Barcelona.
Hivyo Sanllehi anakuwa juu yaani anafanya usajili wa akili na utaalam zaidi kwa kushirikiana na mawakala ambao ndio wenye nguvu ya ushawishi.
Kama wamkumbuka David Dean ambae ndye aliwaleta Nicholas Anelka, Thiery henry, Patrick Vieira, Marc Overmars, Silvian Wiltord na Denis Bergkamp.
Basi ndivyo afanyavyo Sanllehi kwa sasa.
SVEN kaja miez 6 kabla Wenger hajasepa , Sven ameshindwa kufanya kaz na kina emery ,Raul na vinai yule muhind ,kisa HawaelewaniMkuu nafikiri wamwongelea Arsene Wenger na sio Sven au?
Namuona hapo matteo mtoto wa Emery, sitashangaa kumuona ni regular starter next season, maana UNAI anampenda sana.Lineup vs LyonView attachment 1165591
Daah!...... Mbona wanataka kutuharibia hawa!Usajili News: PSG waingilia usajili wa Nicolas Pepe kwenda Arsenal, waweka dau kubwa zaidi dakika za mwisho!!
Tuombe Mungu.
Daah!...... Mbona wanataka kutuharibia hawa!
Wameshachelewa mkuu usiwe na hofu ,Usajili News: PSG waingilia usajili wa Nicolas Pepe kwenda Arsenal, waweka dau kubwa zaidi dakika za mwisho!!
Tuombe Mungu.