Mtoe Mustafi hapo ni takataka hiyo.
Hii ni kweli hata mm natambua hivo, ila siku za mustafi ,elneny, zinahesabika hapo arsenalMustafi akicheza na Rob Holding anatulia.
Ni kwasababu Robby huwa anampiigia kellele za kumkumbusha kurudi na kuziba nafasi.
Boss ingawa alikuwa ni mkoba mzuri lakini alishindwa kuwasiliana vema na Mustafi na Sokratis.
Robby naweza kazi hiyo.
Mm imeniuma sana ,kwa Zaha jamaa namuelewa sana ,Wenger alimtakaga kipind yupo championship, fergie akamuwahi, enzi hizo zaha ana miaka 18,Arsenal walianza kumfuatilia tangia msimu ulipoisha ila dau lake likawatisha kidogo.
Ndipo waliporudi Uingereza na kuanza kumfuatilia Zaha lakini Crystal Palace kwa kuwasikiliza timu zingine mahasimu wakaweka kauzibe na kutaka hizo pauni 80M
Lakini wakaona dili la Zaha linazingua, wakaenda tena Lyon kujaribu maana muda waenda ati.
Halafu Pepe ana miaka 24 mdogo kwa Zaha mwenye miaka 27 na Pepe anachezea upande wa kulia pembeni.
Hivyo Aubameyang au Iwobi watakuwa upande wa kushoto na Pepe upande wa kulia.
So kwa sasa wachezaji 4 watakuwa wamesajiliwa ambao ni kiungo wa kati yaani "Central Midfielder" Dani Ceballos, mshambuliaji wa pembeni Gabriel Martinelli na mkoba William Saliba, ambae atabakia kwenye timu yake ya Saint-Etienne kupata uzoefu zaidi.
Kaveh reporter wangu wa Sky analeta utani
Siku tulipo bid 80 kwa pepe , vyombo vya uingereza vilisema ni Uongo, LE Equipe , walisema kuna Liver ,Arsenal, man u,
Kina kaveh , Darmaesh, David Ornstein wakasema ni UzushiView attachment 1164585