Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ijumanne iliyopita niliwaletea hii taarifa hamkuniamini.NICOLAS PEPE TO ARSENAL DEAL DONE
Tatizo unaleta habari kwa kebehiIjumanne iliyopita niliwaletea hii taarifa hamkuniamini.
Tukiacha ushabiki uchwara tunaoufanya NICOLAS PEPE ni usajili mkuu ni hatari huyu jamaa.Tatizo unaleta habari kwa kebehi
But hili dili arsenal kaliingilia Jana usiku ,maana alishaelekea Napoli
Pepe bid is €80m
Arsenal home and away kit with Pepe 19: €160.
Arsenal fans around the world 28.4m.
Which means only 500,000 have to buy two Pepe shirts to give us €80m.
Great deal.
Nakubaliana na wewe ,wengi tunanunua hizi kutoka kariakooMkuu ukitoa wale Washabiki Kindakindaki wanaoingia uwanjani kila game ndiyo wanaonunua jezi Original, Lakini tuliobakia sote duniani tunaishia na Jezi za Muhindi na Mchina.
Anyway hongereni kwa kumnasa PEPE.
Mkuu ukitoa wale Washabiki Kindakindaki wanaoingia uwanjani kila game ndiyo wanaonunua jezi Original, Lakini tuliobakia sote duniani tunaishia na Jezi za Muhindi na Mchina.
Anyway hongereni kwa kumnasa PEPE.