Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu, wale waliokuwa wanasema hakuna mchezaji ataacha timu ya maana aende Arsenal,...vipi wanazungumziaje hili tukio la leo ?William Saliba in an Arsenal shirt as a kid View attachment 1162808
Mm niliwapuuza toka siku ile na nikawaambia kabisa hawajui mpira kwa mapana Yake, nikawapa darasa kuwa mchezaji kuchagua timu moja kwenda nyingine kuna factor kibao sio CL kama walivyotaka kuaminisha watu, nikaendelea kuwaambia kuna issue za bonuses, mapenzi kwa timu Fulani, ushawishi wa makocha, historia ya klabu,Mkuu, wale waliokuwa wanasema hakuna mchezaji ataacha timu ya maana aende Arsenal,...vipi wanazungumziaje hili tukio la leo ?
Kuna utofauti mkubwa sana, labda kama humjui Dani,“I smell Denis Suarez in Ceballos, over-hyped Spanish players. Arsenal need strong African and South American players."