Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Huna mamlaka yoyote ya kunizuia kuingia humu na kuandika chochote nitachotaka mimi SHERIA ZAKO PELEKA NYUMBANI KWAKO SIO HUMU UNAJIFANYA UNAUMIA ARSENAL IKISEMWA VIBAYA ARSENAL NI MAMA YAKO WEWE............Usinipangie cha kuandika hii JAMIIFORUMS sio mali ya familia yrnu ,Bando langu simu yangu TAFADHALI sana usinipangie cha kufanya.Hata mm nishajiuliza sana, Liverpool mpaka sasa hawajasajiri chochote lkn anakuja kupiga domo huku , anasahau ili kupambana na city inahitaji depth , ana CB mmoja wakuaminika ambaye msimu uliopita hakupata majeraha, hivo ili kupambana na city anahitaji depth, lakin anakaz ya kuja humu kujichekelesha
James delicious ushaanza kutema povu humu.Huna mamlaka yoyote ya kunizuia kuingia humu na kuandika chochote nitachotaka mimi SHERIA ZAKO PELEKA NYUMBANI KWAKO SIO HUMU UNAJIFANYA UNAUMIA ARSENAL IKISEMWA VIBAYA ARSENAL NI MAMA YAKO WEWE............Usinipangie cha kuandika hii JAMIIFORUMS sio mali ya familia yrnu ,Bando langu simu yangu TAFADHALI sana usinipangie cha kufanya.
Giroud kakutoboa fainali EL mmeanza kujisahau siyo?Msimu huu mjiandae nafasi ya 10 , forward jirudi , winger pulisiki teh teh teh
Mbona povu James delicious ,Huna mamlaka yoyote ya kunizuia kuingia humu na kuandika chochote nitachotaka mimi SHERIA ZAKO PELEKA NYUMBANI KWAKO SIO HUMU UNAJIFANYA UNAUMIA ARSENAL IKISEMWA VIBAYA ARSENAL NI MAMA YAKO WEWE............Usinipangie cha kuandika hii JAMIIFORUMS sio mali ya familia yrnu ,Bando langu simu yangu TAFADHALI sana usinipangie cha kufanya.
Hakuna anayekupangia , hata uchoko hakuna aliyekupangia , ila jamaa anakushangaa kama wengine wanavyokushangaa tabia zako za kichokoHuna mamlaka yoyote ya kunizuia kuingia humu na kuandika chochote nitachotaka mimi SHERIA ZAKO PELEKA NYUMBANI KWAKO SIO HUMU UNAJIFANYA UNAUMIA ARSENAL IKISEMWA VIBAYA ARSENAL NI MAMA YAKO WEWE............Usinipangie cha kuandika hii JAMIIFORUMS sio mali ya familia yrnu ,Bando langu simu yangu TAFADHALI sana usinipangie cha kufanya.
Maana Mimi sijawahi kuhangaika kukuquote, ila wewe kutwa unawashwawashwa na kujichekesha mbele ya wanaume, mara uhangaike kuniqoute utumbo, ndio maana huyo jamaa kakuhisi utakuwa James deliciousHuna mamlaka yoyote ya kunizuia kuingia humu na kuandika chochote nitachotaka mimi SHERIA ZAKO PELEKA NYUMBANI KWAKO SIO HUMU UNAJIFANYA UNAUMIA ARSENAL IKISEMWA VIBAYA ARSENAL NI MAMA YAKO WEWE............Usinipangie cha kuandika hii JAMIIFORUMS sio mali ya familia yrnu ,Bando langu simu yangu TAFADHALI sana usinipangie cha kufanya.
Na Add - ons zao zinajulikana watarudi hiviCeltic wanataka £ 25 million plus hela ya add-ons na sio kama mnavyotaka nyinyi eti 25 ndio mmemaliza bei plus add-ons
Hapo add-ons wanaweza ambiwa £ 10 millionNa Add - ons zao zinajulikana watarudi hivi
£ 25 ml and £ 1
£ 25 ml and £ 2
£ 25 ml and £ 3
Arsenal transfer strategy.
Nyie huko usajir vip kiongoz ,naona umeweka kambi huku,Celtic wanataka £ 25 million plus hela ya add-ons na sio kama mnavyotaka nyinyi eti 25 ndio mmemaliza bei plus add-ons
Sikweli kama unavyosema , Wanachotaka structure ya malipo iboroshwe ,ada ni hiyo hiyo 25Celtic wanataka £ 25 million plus hela ya add-ons na sio kama mnavyotaka nyinyi eti 25 ndio mmemaliza bei plus add-ons