Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Wakuu kunani tena?

 
Wakuu kinani tena?


Mkataba wake umeingia mwaka wa mwisho mwezi huu na Arsenal hawajakaa nae kuzungumza kama watamuongezea muda zaidi au la.

Yeye anataka aondoke kabla ya mkataba kwisha aende Bordeaux ambako atapewa miaka 3.

Inaonekana Arsenal wametingwa na mambo mengi na wakamsahau Boss halafu leo wanamwambia apande ndege aende USA kwenye pre-season training!!

Boss hajaelewa hio kitu.

🙂🙂
 
Gabriel Martinelli, Balogun, Thompson, Robbie Burton, Saka, Nelson all included in the traveling squad.
 
Kama amesema yeye ni shabiki wa Arsenal sawa
 
Koscienly ni kweli anataka kurudi ufaransa. Aliomba klabu ikatishe mkataba wake ili aondoke bure, jambo ambalo klabu ilikataa. Na ndio maana kaamua kugoma kusafir na timu
 
HUYU MCHEZAJI TUNAMGOMBANIA NA MAN U ,ANAPATIKANA KWA £15-18m

Mario Lemina has incredible numbers in the Premier League. It’s incredible that people think it will not be a good move to for Arsenal to buy him for £15m. With proper coaching and playing time he could become our best, most complete midfielder. He is only 25, he is a bargain. https://t.co/6lYal9Cpv5
 
Rennes have agreed a 2 yr contract with an option for a 3rd, with Koscielny. Koscielny's family live in Rennes and he is absolutely determined to join Rennes. [@pierrexgarnier]
 
Koscielny :

“I would like to see this club growing and growing and going where I think it deserves to be.“I know the club are supporting me, the club are trying to convince me to stay but my time is up I'm 33 years now it is better for me to leave for the better of this club to move forward.“I would like to thank the whole club and the great fans. Thank you for giving me the opportunity to develop my personality! Thank you for your support! You will always have a place in my heart
 
One thing in Arsenal's favour with Saliba is this has been in the pipeline for months. Good contacts with ASSE and the player, deal was done (other than very last details) and he wanted the move. Spurs' bid complicates things, but AFC will hope they have already done the work.
 
Mane + Salah + Firmino waliwaweka kamba 5
Messi + Suarez + Griezman wanaweza kuwaweka kamba 10
Endeleeni kucheza EUROPA LEAGUE tu ndugu zangu huku kwingine hakuwafai.
 
Arsenal 'back in transfer race' for Man Utd target Ruben
Arsenal are reportedly back in the race to sign Benfica centre-back Ruben Dias.

The Portuguese star, who has a £54m release clause, has previously been linked with a move to Manchester United this summer.

According to the Daily Mail , Arsenalhave now drafted him back onto their shortlist after club captain Laurent Koscielny refused to travel to the USA for their pre-season tour.

The situation with the Frenchman has made centre-back a pressing concern for Unai Emery, who had Dias on his shortlist of potential targets at the start of the transfer window.
 
Mkuu hizi taarifa zako unazitoa wap? Its not done yet man. Tot have interred the chat group.
 


Kuna mtu kawaandikia deal la Saliba lishakua confirmed na ame sign miaka 5. Hii habari imeandikwa leo nyie wote bado mnamgombania huyo dogo ambapo kama atasign mkataba wowote basi atabaki kwa mkopo wa msimu mzima Saint Etienne.
 

Naomba kwa Mungu Mkuu Muumba Mbingu na Dunia Tot wamchukue huyu dogo. Mi nadhani Mustafi, majeruhi Belle (nae atauzwa kama Jack, pancha kibao), na mabeki wengine wanafaa kabisa na wataturudisha CL. Hili li timu mavi kabisa.
 
Mkuu hizi taarifa zako unazitoa wap? Its not done yet man. Tot have interred the chat group.
#AFC have agreed a payment structure with Saint-Etienne, which involved paying most of the fee for Saliba next summer. But Spurs have told #ASSE they are willing to offer a bigger slice of the fee up front and they too are willing to send him back on loan [via @pbsportswriter]
 
Arsenal: Meeting between Emery, Edu and Raul today to prepare for a meeting on Monday with Stan and Josh Kronke. Transfers top priority. #afc #Transfers
 
Huyo dogo arsenal tulishamalizana nae, tot wanaleta ujuaji wameenda kuvuruga, Sasa kilichobaki ni Dogo anatakiwa achague mwenyewe kati ya Arsenal au Tot ,
 
Kila mchezaji tunayemtaka , Spurz shit wanakuja kuvuruga , Kwa Cebalos wameenda kuvuruga, kwa Saliba wameenda kuvuruga,

Ngoja tuone hadi mwisho wa usajiri


Spurz ni Shit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…