Vipi Ryan Fraser?Winger ambazo tunazihitaji na klabu inafanya mazungumzo ya serious ni hizi
ZAHA
VAZQUEZ
FEKIR
mmoja au wawili itakuwa vzr ktk kuimarisha kikosi,
Fekir anacheza kama winger pia namba 10 ,tatizo majeruhi mengi ,
Na prefer Zaha au Vazquez au wote wawili
Huo uzushi, Arsenal ipo serious kwa zaha na malconArsenal in talks for Real Madrid winger Hahahahahahahahah ZAHA Alternative hahahahahahahahah
Sawa mkuu, tunashukuru kutujuza.Arsenal wametumia tactics za kibiashara kuingia sokoni msimu by pretending that they have a limited budget, lakini kiukweli they have a substantial amount of cash to splash this season. Mashabiki msikate tamaa, wachezaji wazuri watanunuliwa.
Tunashukuru kwa kutupa matumaini mkuuArsenal wametumia tactics za kibiashara kuingia sokoni msimu by pretending that they have a limited budget, lakini kiukweli they have a substantial amount of cash to splash this season. Mashabiki msikate tamaa, wachezaji wazuri watanunuliwa.
Nimesikia hivo , wameingia sokon kwa staili hiyo, na kumtaka Malcon kwa mkopo na option za kumnunua jumla iwapo hatabuma,Arsenal wametumia tactics za kibiashara kuingia sokoni msimu by pretending that they have a limited budget, lakini kiukweli they have a substantial amount of cash to splash this season. Mashabiki msikate tamaa, wachezaji wazuri watanunuliwa.
Dah...hawa nao...on loan tenaTéléfoot say Saliba's transfer to #Arsenal is being finalised. Just a few details to be sorted. The player will spend next season back on loan at Saint Etienne. https://t.co/X0oXMsuCC8
Wamekomaa sana hawataki kumuachia , na kuna uwezekano next season akapanda bei had 50-60 , Arsenal wanaona bora walipe hiyo 30 abaki huko, japo wamekaza sana abaki kwa mkopoDah...hawa nao...on loan tena