Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Vip hapa mshasajili galasha gani mpaka sasa? Au mnasubiri dirisha likishakaribia kufungwa mkagombee wachezaji wa mafungu
 
Vip hapa mshasajili galasha gani mpaka sasa? Au mnasubiri dirisha likishakaribia kufungwa mkagombee wachezaji wa mafungu
Mkuu awa wana pound million 40 tu ivyo wanasubiri ule muda wa lala salama ili waokoteze wakina gundogazzi wapya hahaha
 
Ornstein anasema kuhusu ishu ya Kieran Tierney kwamba Kuna uhakika mkubwa sana wa makubaliano kufikiwa kati ya Arsenal na Celtic na kuhusu maswala binafsi kati ya Tierney na Arsenal haina Tabu Ni kwa mujibu wa David Ornstein
 
Torreira hauzwi, Ac milan msijisumbue, full stop.Unless wekeni dau £90+million... Huyu Gazidis vipi?
 
Vip hapa mshasajili galasha gani mpaka sasa? Au mnasubiri dirisha likishakaribia kufungwa mkagombee wachezaji wa mafungu
Hutujasajili galasha na tunasubiri tugombee wa mafungu, una lingine?
 
Wamsajili huyo fullback wa celtic,.Kolasinac weka benchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…