Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
kwenye Epl Chelsea hajakufunga? mbona unatamba kufunga wakati umefungwa pia au kufunga kwako kulikupa Point 6 na kufungwa kwako ulipoteza point 1,ongea ubora mwingine wa Arsenal sio kuifunga Chelsea Well wakati ilikufunga piaHuyo chelsea tumemgonga 2-0 kwenye ligi EPL, so hawezi furukuta kwa lolote kwanza katimu kadogo tuu kamemtoa maji hadi matuta; Chelsea labda zamani kwa sasa uchochoro tuu............
Pigeni kelele zenu lakini Asernal hamuwezi kuwafunga Chelsea anayebisha aendelee kubisha lakini ukweli unabaki palepale,mjiaandae kisaikolojia.Huyo chelsea tumemgonga 2-0 kwenye ligi EPL, so hawezi furukuta kwa lolote kwanza katimu kadogo tuu kamemtoa maji hadi matuta; Chelsea labda zamani kwa sasa uchochoro tuu............
Haya ni maneno ya mtu aliyekata tamaa,uzuri mpira hauchezwi kwenye majukwaa,ila kwakifupi sijaona timu ya kumfunga Chelsea labda itokee bahati iwe kwenu,kinyume chake lazima mtaukalia.Kwa taarifa yenu mashabiki wa Chelsea msitegemee tutafika penalty siku ya final.... Ngoma ni dk 90 tunamaliza shughuli, Chelsea ni mbwa asiyeng'ata kwe big matches hafurukuti wala hajui kudefend in short Chelsea ataupiga mwing ila ushindi wetu sema woyoooooooo
Ivi wewe unaongelea chelsea ipi kwani ipo nyingine tofauti na hii iliyofungwa 2-0 na arsenal kwenye mchezo wa ligi ya England? maana nakumbuka Arsenal walimfunga chelsea wanaojiita the bluess 2-0............Pigeni kelele zenu lakini Asernal hamuwezi kuwafunga Chelsea anayebisha aendelee kubisha lakini ukweli unabaki palepale,mjiaandae kisaikolojia.
basi chelsea wamechukua kombeMechi ya Chelsea VS Frankfurt ilistahili iwe fainali. Very spirited, speed, agility, accuracy from both sides.
King of London is back ..
Timu za London zinakuja kutawala tena soka la England na pengine Europe nzima.
Huwezi amini Spurs anabeba UEFA uku matajiri wa London kaka zao tukifanyua EUROPA.
Msimu huu Looserfool hubebi chochote...
Kwa wewe uyo assanal akugongwa 3 pale darajani? Au mnajisahaulisha tu...Huyo chelsea tumemgonga 2-0 kwenye ligi EPL, so hawezi furukuta kwa lolote kwanza katimu kadogo tuu kamemtoa maji hadi matuta; Chelsea labda zamani kwa sasa uchochoro tuu............
London imetawala EPL misimu kadhaa apo nyuma ukiondoa misimu wa jana na huu unaoishilia. Wewe na Liverpool yako ulikuwa unagombania kucheza Europa uko na akina arsenal, Leicester ..Kwani ni Mwaka gani Timu za London zilipowahi Kutawala Soka la England?
Mkuu tafuta buyu ukune kombe laenda arsenal hilo #tatizo cheltako tia maji tia maji nyie #kwan hamuogopi ozil na aubameyang nyieKwa wewe uyo assanal akugongwa 3 pale darajani? Au mnajisahaulisha tu...
Yani hii arsenal ya kimama ivi ..tukipanga hata kikosi B wakina Ampadu uwafungi..Mkuu tafuta buyu ukune kombe laenda arsenal hilo #tatizo cheltako tia maji tia maji nyie #kwan hamuogopi ozil na aubameyang nyie
mzee wa kujipiga BAN mdomo wako ndio tatizoYani hii arsenal ya kimama ivi ..tukipanga hata kikosi B wakina Ampadu uwafungi..
Jidanganye hivyo,Kwa taarifa yenu mashabiki wa Chelsea msitegemee tutafika penalty siku ya final.... Ngoma ni dk 90 tunamaliza shughuli, Chelsea ni mbwa asiyeng'ata kwe big matches hafurukuti wala hajui kudefend in short Chelsea ataupiga mwing ila ushindi wetu sema woyoooooooo
Hahaa..Arsenal fans all over the world wiil turn Liverpool fans for UCL final, I know you know
Spurs abebe UCL nasisi tutaweka wapi nyuso zetu?
You still have chance to say this behind ur TV in 29/05.Ombi langu moja tu! Nipigieni Chelsix
Ni aibu kwa kitimu cha juzi 2004 kama Chelsix kujiita King of London
Please muonesheni who the real king of London