Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mazoezi ya mwisho mwisho kuelekea mech ya Brighton,

Kama kawaida tunaombea njaa mech ya Chelsea iwe, sare au kupigwa

Adui muombee njaa
 
Hana uwezo wa kucheza arsenal huyo
 
Hana uwezo wa kucheza arsenal huyo
Kwasasa hatuna winger wa kulisha mipira kwa auba na laca

Hivo kwa muono wangu zaha atatufaa sana,

Tukiimarisha na CB , na AM , basi tutakuwa washindani bora next season
 
Kiungo wa Arsenal Aaron ramsey ametoa shukran zake za mwisho kwa mashabiki wa Arsenal kupitia ukurasa wake wa Instagram.


Nimefikiria kwa kuongea dhahiri kwamba nahisi mechi dhidi ya Napoli, Ndio ilikuwa mechi yangu ya mwisho huku nikiwa nimevaa jezi ya Arsenal.
Nasikutegemea kama ile ndio mechi ambayo itaniacha nikiwa na majeraha.
na ndio utakuwa mwisho wangu kuitumika Arsenal tena.


kwababu nilipanga kuitumikia Arsenal hadi mwisho wa mkataba wangu unapokwisha kabisa.
Nimejisikia vibaya sana kwasababu sitoweza kuwa fiti hadi mwisho wa msimu utakapokwisha.


Ila yote kwa yote kwa kipindi hiki cha kuuguza majeraha mimi bado ni mchezaji wa Arsenal.
Ila, ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa mashabiki wote wa Arsenal kwa ushirikiano wenu mkubwa.

Kitu kingine ningependa kuwajulisha kwamba safari yangu ya kuondoka ipo mbioni.
Nimeitumikia Arsenal ndani ya miaka 11.
Nilikuwa kijana mwenye umri mdogo tena wakawaida sana.
Na mpaka sasa naondoka nikiwa mwanandoa na baba wa familia ya watoto 3.
Najivunia san kwa kumbukumbu nzuri niliyoipata nikiwa ndani ya Arsenal.


Ahsanteni sana"

Bado ninayomengi ya kusema ila kwa haya machache yanatosha.
Mengine nitamalizia kwa kuwaaga kamili siku ya Jumapili ktk kukamilisha mchezo wetu wa mwisho tukiwa nyumbani.

Akamalizia kwa kusema nawashukuru sana
 
Xhaka on away form: "Its difficult to explain why we don’t take the same points in every game. Its so frustrating. With 7 or 8 more points (away), we’d already be in the Champions League. This is the thing that killed us last year. We hope it won’t kill us this year" #Arsenal
 

Mkhitaryan wamuache
 
Watford mpaka sasa wamemkazia Chelsea,

Game ni 50/50

Matokeo yalibak hivo hivo ,tukishinda bas tutakaa namba 4 ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…