barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Iwobi kachangamsha gemu.Inapifika mahali Iwobi is your best player, kuna tatizo! Where the **** is Iwobi!
Jenkinson, mavroponos, elneny no offense ila hawa sio hata top six players! Na guendouzi pia, too delicate! Akiguswa tu kaanguka. Football is a fuckimg contact sport son!! Man up!
Alafu eti alalamika kana kwamba kipa hajatokea.Yani paka leo najiuliza aliemsajili mustafi aliangalia ubora wake upi
Baada ya kutokumuona LT kikosi cha kwanza,nikakosa nguvu ya kuiangalia mpira
Kocha kazingua sana leo...Sasa kiungo cha Elneny na Gundouz utaifunga timu gani EPL?tumeongezwa
lawama zote kwa kocha
Anamuiga pep