Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Unau is sometimes behaving like inzi wa chooni
Kwa aina hii ya mpira mnaocheza, Futuhi inawahusu.
Kweli kabisaUkimpanga elneny na guendouzi pale kati uaotegemee jipya zaidi ya kufungwa au draw.
Anamuiga pepUnai is completely foolish, mechi hii sio ya majaribio, kupanga takataka ya misri, na jenkinson wakati wapo wenye mamba
Kama Elneny sijui anawaza niniSidhani kama hawa wachezaji wanataka kucheza championa league!
No passion, no urgency, no nothing! Just going through the motions!
Huyu hata al ahly hawamchukui.Kama Elneny sijui anawaza nini
Mkuu Unai anatuletea za Wenger, Tot na Man wamepigwa inatakiwa tushinde hata kwa kupanga kikosi kamili. Namuona kocha nae ni chanzo cha kupigwa.Three rubbishes on the pitch, elneny jenkison and mavroporas
Baada ya kutokumuona LT kikosi cha kwanza,nikakosa nguvu ya kuiangalia mpiraMkuu Unai anatuletea za Wenger, Tot na Man wamepigwa inatakiwa tushinde hata kwa kupanga kikosi kamili. Namuona kocha nae ni chanzo cha kupigwa.