Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Ingekuwa poa sana km tungeanzia kwaoEuropa League semi-final details:
Arsenal vs. Valencia
May 2nd - kick-off 8pm (UK time)
Emirates Stadium
Valencia vs. Arsenal
May 9th - kick-off 8pm (UK time)
Mestalla Stadium
#afc https://t.co/glqZNmFAb
Endelea kupiga ramliHongereni kuingia Nusu Final.
Na huo ndiyo mwisho wenu.
Yap huwa ipo vzr sanaHii jezi ya jana yenye bukta nyekundu kali sana dah![emoji119][emoji119]
Yah,lkn kwa emirates shughuli imeisha ,Ingekuwa poa sana km tungeanzia kwao
hawa jamaa wa frankfrut ata chelsea atapata tabuAisee.
Arsenal tunapitia magum lakini tutafika.View attachment 1075332
Kwa pazia lao lile kepa, wanaweza kuaga mashindano,hawa jamaa wa frankfrut ata chelsea atapata tabu
Andika namba yako hapa.Mkuu upo online unifanyie hata discount tu
Espanyol 2-0 Valencia
Valencia 1-1 Barcelona
Valencia 0-1 Girona
Alaves 2-1 Valencia
Sevilla 0-1 Valencia
Valencia 2-1 Real Madrid
Rayo Vallecano 2-1 Valencia
Valencia 2-1 Man Utd
Barcelona 2-2 Valencia
Most unpredictable team in Europe? [emoji1787][emoji24][emoji1787]
HahaaaaAndika namba yako hapa.