Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Emirates pamekuwa kaburi la wapinzani

Nimefurahi sana kurejea kwa LT11



Yohana 3:16
 
Habari ndio hiyo!!! We need our boys to go bare knuckles, Valencia you are next

Yohana 3:16
 
Lucas Torreira vs Napoli (H):

58 touches
34/40 passes
5 ball recoveries
3/3 long balls
2/4 crosses
2/2 tackles
2 interceptions
2 key passes

Yohana 3:16
 
Ngoja tulinganishe kidogo.

Chelsea played 11 Europa league Games so far.

Win 10
Draw 1
Loose 0

Clean sheets. 8


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Every Saturday we follow
London’s greatest team
Unai emerys army
Herbert Chapmans dream
All across the country
And in Europe too
We follow the gunners
And we’re arsenal through and through
Allez Allez Allez...

Yohana 3:16
 
Jana kwenye mechi ya Napoli na Arsenal..wakala wa mchezaji Jordan Veretoút alikuwepo pale emirates kuangalia gemu lakn alikuja kwa swala la kufanya mazungumzo na Arsenal kwa mchezaji(kiungo) wa fiorentina ambaye arsenal wanasaka saini yake kama replacement ya Aaron Ramsey..

Jordan mwenye miaka 26 anapatika kwa dau la kiasi cha €25 mpaka €30...japo napoli nao wapo kwenye mazungumzo na mchezaji huyo ili akazibe pengo la Marek Hamsiki aliyetimkia China.

Yohana 3:16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…