makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,903
- 104,169
Kuna watu nilikuwa nainjoi kuwatizama katika arsenal hii ya maji kupwa ya wenger basi ni fundi cazorla, jamaa naona km alikuwa underrated, bonge la player anatumia miguu yote ipasavyo alikuwa ananikumbusha Alexander hleb.In the three seasons prior to his injury problems, Santi Cazorla managed 27 goals & 37 assists. Only 32 out of those were with his stronger foot. Yes, 50% were with his right, 48% with his left & 2% were headers. He takes the term both footed to the next level.
Tell me you know these
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Uyo Auba ni msaliti na dhambi ya usaliti itamtafuna..anaacha kupambania timu yake ya taifa kisa Ass Anal!!? Yani Burundi timu ya mchangani uyo limbukeni kashindwa kuifunga kisa maslahi tu. !! Nini maana ya uzalendo sasa..Atawafunga nyie
Unambeza Auba mwenye magoli 22 na assist ,
Hapo Chelsea nan ana magoli kuzid Auba?
Auba kwanza hiyo timu wanamlazimishaga hanaga time nayo anacheza basi tu, yaan ajitume aumie Aache kuipigania Arsenal inayompa paun laki 2 kwa wiki ,na bonus ya paun elfu 50 kila arsenal inaposhinda ,ahangaike na Gabon ? Unamjua auba unamsikia?
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Tangu ushinde ile gemu ya Man United unajiona una timu ñzuri..umegeuka kuwa mpiga kelele ..Wewe kweli kiazi kabisa,
Haya kapambane na Chelsea yako mbovu ,
Maana mshakuwa jamvi LA wageni
Nakuomba fainal nikuzabue goli 3
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Toka nikufunge 2-0 wewe na timu yako mbovuTangu ushinde ile gemu ya Man United unajiona una timu ñzuri..umegeuka kuwa mpiga kelele ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaliti wa wapi, hiv unawezaje kumpangia mtu maisha , kwanza hata kuichezea Gabon kaonesha uzalendo, kwani anacheza peke YAKE mpaka aipeleke AFCON?Uyo Auba ni msaliti na dhambi ya usaliti itamtafuna..anaacha kupambania timu yake ya taifa kisa Ass Anal!!? Yani Burundi timu ya mchangani uyo limbukeni kashindwa kuifunga kisa maslahi tu. !! Nini maana ya uzalendo sasa..
Auba ni sawa na kawasaliti wazazi wake tu..
Pumbavu kabisa Auba..anashindwa hata na Samatta..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa mpaka Leo haijulikan anatumia mguu ganiKuna watu nilikuwa nainjoi kuwatizama katika arsenal hii ya maji kupwa ya wenger basi ni fundi cazorla, jamaa naona km alikuwa underrated, bonge la player anatumia miguu yote ipasavyo alikuwa ananikumbusha Alexander hleb.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lacaa 2
Ozil assist ya kisigino
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ungekaa kimya mkuu. Auba alikataa kuchezea France sababu ya Gabon. Alizaliwa France na kukulia France ila alikataa kuichezea France licha ya kwamba aliwahi itwa enzi hizo anaanza kutoka.Uyo Auba ni msaliti na dhambi ya usaliti itamtafuna..anaacha kupambania timu yake ya taifa kisa Ass Anal!!? Yani Burundi timu ya mchangani uyo limbukeni kashindwa kuifunga kisa maslahi tu. !! Nini maana ya uzalendo sasa..
Auba ni sawa na kawasaliti wazazi wake tu..
Pumbavu kabisa Auba..anashindwa hata na Samatta..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mechi imeshaisha mkuu,App?
Link?
Vyote ....
Huyo kashachanganyikwa na zari ball, hakuna anachoelewa kwa sasaUngekaa kimya mkuu. Auba alikataa kuchezea France sababu ya Gabon. Alizaliwa France na kukulia France ila alikataa kuichezea France licha ya kwamba aliwahi itwa enzi hizo anaanza kutoka.
Yule Nditi wetu alikuwa chelsea alikataa sasa hivi sijui hata kama ana timu.
Adidas wapo vizur kuliko puma kwenye jezi, puma wanazidiwa hata na nikeNimeulewa sana uzi wa Kwanza na huo mwekundu. Naona kila mwaka jamaa wanazidi kufanya maboresho ya Jezi zao.
COYG
Mchezaji gani aliyetoka Manure akaenda arsenal akang'aa? Apo Herrera akikubali atakuwa anejivunjia heshima sana ..kuchezea arsenal ni sawa na kukosa option tu kwenye maisha..Tunakimbizana na PSG kumpata huyu MTU,
Iwapo hataafikiana na man u kuhusu mkataba wake unaoisha mwisho wa msimu huuView attachment 1054548
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba