Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yan kuna vitu auba anatakiwa aige kwa giroud? Hatari hii mbona, auba ni bonge la striker lakin alipoteza form kimtindo miez hii miwili, usirudie tena huo ushaur ni sawa na kumwambia aguero ajifunze kwa dickson ambundo wa alliance
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walifurahia wakadhani NAPOLI ni underdog..

Huyu katoka UEFA kubwa sio wa uefa ya futuhi (alhamisi)
Kwenye ligi ni wa pili, chini ya Juventus.
Anakutana na timu ya alhamisi ambayo kwenye ligi nafasi hata ya nne bado ni tiamaji tiamaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nikimuangalia Auba na ile jezi yake no. 14 namkumbuka Thiery Henry alikuwa akivaa hiyo no. Wanafanana kwa body shape and physique, pace and ball handling skills ukiacha kwamba wao wote ni francophone. Enzi zile Counter attack zilikuwa zinaanzia kkwa Viera akinyanyua kichwa ujue anafanya channel loading kwa Henry ambaye anaweza akamaliza kazi hata kama kwenye enemy half yupo peke yake. Leo hii long range passer ni Xhaka lakini hakuna matokeo kwenye direct counters zaidi ya zile zinazoanzishwa na wing backs. Hili ndio linanishawishi kabla Auba hajamtazama legendary Henry, aanze na Giroud ambaye anaheshimika sana pale Emirates mpaka sasa.
 
Upepo mbaya unavuma kwa majiran Chelsea na manyua

Hii ndio EPL ,

Nilipoiangalia ratiba kipind fulan ,wakati tupo nafas ya 6, nilisema kwa ratiba yetu hii, itafika kipind tutamuacha man u hadi point 8

Mech inayokuja tupo na Newcastle emirates wakat tot yupo na liver,nafas ya 3 uhakika

Man u yupo na Watford, na ameshavurugwa, huku man city na Chelsea wanamsubiri, sisi waleeeee
Hii ndio EPL , kuna wakat wa furaha na huzuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal, West Ham na Inter Milan wana hamu ya kumsajili beki wa kulia wa klabu ya Manchester United Antonio Valencia wakati kandarasi yake itakapokamilika mwisho wa msimu huu, kulingana na babake na ajenti wa mchezaji huyo raia wa Ecuador mwenye umri wa miaka 33. (El Universo, via Sky Sports)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Sosha watafukuza tu.
 
Wachezaji watakao safari na timu kwenda Dubai kwa siku tano : Petr Cech, Bernd Leno, Laurent Koscielny, Nacho Monreal, Shkodran Mustafi, Carl Jenkinson, Dinos Mavropanos, Mesut Ozil, Denis Suarez, Ainsley Maitland-Niles, Alex Lacazette.


Timu pia itapata nafasi kutembelea maeneo muhimu Dubai #Coyg_Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mesut Özil’s career by numbers:

-109 goals.
-254 assists.
-Top assister in England, Germany & Spain.
-Top assister at the World Cup & Euros.
-German POTY X5.
-World Cup winner.
-La Liga winner.
-FA Cup X3.
-3 FA Community Shield
-Most CC in a single PL & FA Cup. ... *kuna mwenye swali juu ya ozil*??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Telegraph say Huss Fahmy, the director of football operations, & head of football Raul Sanllehi will continue to lead the negotiations & pursuit of transfer targets in the absence of a technical director. #Arsenal





According to the Sun, #Arsenal are set to send Denis back to Barcelona & are already looking at alternative signings for the summer. Emery wants to give Denis every chance to adapt to the Premier League but believes he is struggling with the physical demands of English football.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…