Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuna leader hakuna oganizesheni uwanjani nahisi Vermaelean ndio kiongozi peke yake, bila Fabregas, RVP ama Gallas timu inaonekana very dis-organised
 
haya tuna dakika 45 dhidi ya watu 9 tupewe nini tena?
 
tatizo kwamba kama koscienly hatorudi nani ataletwa nyuma pale? labda Song kama yuko fit au eboue ndio ashuke na walcot aingie.
Ni kweli hatuna cover hapo nyuma na ndio maana tumelia na wenger kila siku aongeze CD na GK wa uhakika, yule Kompany wa city na Schwazer wangelitusaidia sana.
 
Pole Malaria Sugu! na Wacha1 acheni mchezo mbaya hahahahahahaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…