Sana sana, ila hili swala la ku-raise the game kwenye games fulani fulani tu, au kuwa hot and cold linatuchanganya wengine, sisi tukicheza na timu yoyote iwe moto chini na undava undava tu..tusichaguwe mechi au tukidhani the so called small teams tutashinda, its a mental issue pale, Gaffer Emery akiliwezea mbona mswano...TUKICHANGA KARATA VIZURI NAFAS YA TATU NI YETU,
SIKU TOT ANAKIPIGA NA CITY TUNAMTIMULIA VUMBI
SIKU MAN U ANAKIPIGA NA CHELSEA TUNAWATIMULIA VUMBI
CHELSEA REMAINING FIXTURES
Everton (A)
Cardiff (A)
West ham (H)
Liverpool (A)
Burnley (H)
Man United (A)
Watford (H)
Leicester (A)
Outstanding match against
Brighton (H)
MAN UNITED REMAINING FIXTURES
Watford (H)
Wolves (A)
West ham (H)
Everton (A)
Man City (H)
Chelsea (H)
Huddersfield (A)
Cardiff (H)
TOTTENHAM REMAINING FIXTURES
Crystal Palace (H)
Liverpool (A)
Brighton (H)
Huddersfield (H)
Man City (A)
West Ham (H)
Bournemouth (A)
Everton (H)
ARSENAL REMAINING FIXTURES
Wolves (A)
Newcastle (H)
Everton (A)
Watford (A)
Crystal Palace (H)
Leicester (A)
Brighton (H)
Burnley (A)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Ass Anal bhana, kila siku huwa mnajipa moyo hivi hivi halafu mnaangukia puaUnaongea non sense
Umeongea utumbo mkubwa
Namba 6 inakuhusu
Futuhi lazima msimu huu uende
Huna timu ya kupata hata sare kwa man city,
Sasa Chelsea ananipa presha gan nishamalizana nae, na ana mech na liver na wewe manyumbu
Huon nafas ya 6 ndio rasmi umekaa maxima, wakat mm naingia nafas ya 3 bila bugdha.
Mwez wa 5 utakuja kuniambia hapa, endelea kubwabwaja
Ulichambua upuuz kibao kuwa mnashinda, umeaibika,
Sasa hiv umekuja na ngonjera nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana umebakwa tuliaWewe Ass Anal bhana, kila siku huwa mnajipa moyo hivi hivi halafu mnaangukia pua
Nadhani katika makosa ambayo unayajutia kwenye maisha yako ni kuwa shabiki wa hawa ma losers a.k.a Arsenane
Hiyo namba 4 umewashikia United, katika timu ambazo haziwezi kuniumiza kichwa zikiwa mbele ya United ni Arsenane a.k.a ass anal
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie Arsenal si ndio mna jukwaa la mashogaJana umebakwa tulia
Na nafas ya 6 ndio inakuhusu
5 na 6 mtagawana wewe na Tottenham
Ila 6 inakufaa wewe
Man city anakuja kukubaka hapo hapo get on kwako,
Chelsea anakuja kuteleza tu ,
XHAKALACA BOOOMMMMMM
ENDELEA KUCHONGA TENA
Ohoo tunashinda sijui nini ,unajifanya mchambuzi View attachment 1043027
Sent using Jamii Forums mobile app
Unai a.k.a PSG rejectJana umebakwa tulia
Na nafas ya 6 ndio inakuhusu
5 na 6 mtagawana wewe na Tottenham
Ila 6 inakufaa wewe
Man city anakuja kukubaka hapo hapo get on kwako,
Chelsea anakuja kuteleza tu ,
XHAKALACA BOOOMMMMMM
ENDELEA KUCHONGA TENA
Ohoo tunashinda sijui nini ,unajifanya mchambuzi View attachment 1043027
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana umebakwa usijifanye kujibaraguzaNyie Arsenal si ndio mna jukwaa la mashoga
Unapozungumzia kubakwa bakwa unanifanya nipate picha flani
Ujue kuna mashoga pia wanabaka kwa kulazimisha mti, kwa hiyo inawezekana Ass anal anabaka kwa mfumo
Kwenye geto la Ass anal Man Utd alikwishamlawiti 1-3 kwenye FA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwez kufungwa na deiwaka olesendeka
Hapa ndipo ulipolawitiwa bila KYJana umebakwa usijifanye kujibaraguza
Matokeo haya hapa Jana tu
2-0
View attachment 1043033
Sent using Jamii Forums mobile app
Umebak unajifariji
Bila kyUmebak unajifariji
Baada ya Jana kubugizwa 2-0
Wewe ndio unajifanya una roho ngumuView attachment 1043037
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijisahaulishe ,hiyo haiondoi machungu ya Jana
Machungu ni kufungwa 8-2 na kutojua lini utalipiza kisasi na kujua kamwe hutaweza kufanya hivyoUsijisahaulishe ,hiyo haiondoi machungu ya Jana
Jana umebakwa 2-0
Matokeo haya hapa ,ya janaView attachment 1043048
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwez kuondoa maumivu ya Jana jioniMachungu ni kufungwa 8-2 na kutojua lini utalipiza kisasi na kujua kamwe hutaweza kufanya hivyoView attachment 1043050
Sent using Jamii Forums mobile app
8-2Machungu ni kufungwa 8-2 na kutojua lini utalipiza kisasi na kujua kamwe hutaweza kufanya hivyoView attachment 1043050
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wewe ndio unajaribu kujikiwaza na ukibonde wako kwa UnitedHuwez kuondoa maumivu ya Jana jioni
Ulibugizwa 2-0
View attachment 1043054
Sent using Jamii Forums mobile app