Sio kugawana tu point..na RED CARD JUU..na baadae Man U anampiga SOTON unashushwa nafasi ya 5Tulikua tunaondoka na ushindi mzuri tu na kuweka point 3 kibindoni ila ndo yametokea hayo
Tumegawana point 1-1
Wale wanawapigaga 8...msiwashushie hadhi bhana..We shall reclaim our position when we meet man united
Sio kugawana tu point..na RED CARD JUU..na baadae Man U anampiga SOTON unashushwa nafasi ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua kwa nini Aubemeyang ni penalty taker wa Araenal, upigaji wake wa penalty ni mbaya sana. Huwa anafunga ila kipa huwa wanakosa kosa kuokoa. Hajui kupiga penalty.
Kukosa penalty kwa game hii ni uzembe grade wanu. Abumeyang atapata tabu sana leo.Tulikua tunaondoka na ushindi mzuri tu na kuweka point 3 kibindoni ila ndo yametokea hayo
Tumegawana point 1-1
Sio kugawana tu point..na RED CARD JUU..na baadae Man U anampiga SOTON unashushwa nafasi ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuja emirates,Sio kugawana tu point..na RED CARD JUU..na baadae Man U anampiga SOTON unashushwa nafasi ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kugawana tu point..na RED CARD JUU..na baadae Man U anampiga SOTON unashushwa nafasi ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpige kwanza soton ,ila tambua nafas ya 6 inakuhusuSio kugawana tu point..na RED CARD JUU..na baadae Man U anampiga SOTON unashushwa nafasi ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mkiwa nazo tatu mkononi, Chelsea nafas ya 5 au 6 ndio ataishia hapo
Na ya spurs lundo la wachezaji walikuwa off side.Penalty ya Aubameyang ingekuwa retaken kama VAR ingekuwepo. Kabla ya Aubameyang hajapiga penalty, wachezaji kama 3 wa Tottenham walingia kwenye penalty area.
Chelsea sahauni top 4.
Wewe una draw na kibonde niliyempiga juzi alafu unategemea kwenda uefa. Utatia aibu tu..Hata mkiwa nazo tatu mkononi, Chelsea nafas ya 5 au 6 ndio ataishia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app