Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nisaidie kuniwekea msimamo.

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hata nguvu za kuweka msimamo huna hahahahah wakati ulikuja na nyodo hapa juzi kuhusu mtaa wa sita,sasa MUNGU alivyokuwa fundi kakupeleka mtaa wa sita na goli sita hapo ulipo unajikakamua kutype usije ukapararaizi bure....kwakifupi wewe upo mtaa wa sita na goli sita juu....na vile vipigo heavy ulivyojinadi humu kuwa wewe huhusiki navyo sasa hivi wewe ndi konki konki konki wa vipigo heavy


JIKAZE WEWE
 
Unaongea yote ila kauli yangu ya mwisho nitakuuliza unataka nifanye nini.?
Muiponde timu yangu nikae kimya?
Timu yangu ikifanya vibaya nikae kimya?
Na ikifanya vizuri pia.? Sasa nitakuwa mshabiki wa aina gani.?

Hapa tunaenda sambamba. Weka tofali mi naweka jiwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaomba ushauri gani ungejua usingesogea karibu yetu maana wewe siyo saizi yetu. Timu zilizo saizi yetu uingereza ni liverpool, Manchester United na everton na Newcastle kwa mbali.
Wewe huna umaarufu wa uingereza ndiyo maana upo huku kuomba ushauri kwa wakubwa zako.
We are the GUNNERS forever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…