kama kile cha juzi ulichopigwa na watoto wa mbwa bournamouth hahahahahahahahahaahha kweli nyani haoni kundule..........yaani wewe uliyepigwa 4 sifuri na vitoto unanicheka mimi loh kujisahaulisha hukuIla hawa gunners washapokea vipigo vizito kweli. Keshawahi kufa 8, mimi nikampiga 6.
Washazoea vipigo hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
na wewe nilishakupiga 6 so sijaona mantiki kubwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKwenye ile big six Arsenal ndio mteremko wa wote.
Sidhani kama kuna msimu Arsenal anaponea vipigo vizito viwili vitatu kutoka kwa teams za big six
Najua chief ikifika siku ya kumbukumbu ya hiyo mechi wewe tupia tu wala sita catch feelings.na wewe nilishakupiga 6 so sijaona mantiki kubwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
😀😀😀Najua chief ikifika siku ya kumbukumbu ya hiyo mechi wewe tupia tu wala sita catch feelings.
Hahaa.. We kibonzo tulia nakuulizaga maswali kule jukwaa letu huwa hujibu. Unatokomea kusiko julikana.timu za uingereza zikiwa zinakutana na chelsea zinaimbaga wimbo wa mafongo zamu ya nani leoooooooooo.............wewe juzi ulikuja geto ukapigwa viwili leo unapita kunitukana dahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh kweli ............ hana shukrani
Kwan unateseka?Hili jukwaa linaonesha ni jins gani kuwa shabiki wa aseno ni laana ...yani watu hata kuja huku anaogopa....poleni sana
HamaTimuu mbovuu sana. .....hii timu kocha tulipigwaa huyuuu wachezaji atakutuliza mpra hawawez ,,,iwobi ndo mchezaji tegemez
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea tutamtoa kwa pointFungeni goals nying mumtoe chelsea juu yenu