Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mchezaj amalilia kuja arsenal,
Kawaida tu, kwenye ligi tutawapaniaHahahaha icho kipigo cha mbwa koko mulichopewa na hawa Man United tena kwenye Jiji la wajanja London na kubaki kuliaibisha jiji, sisi kaka zenu tutawafutia iyo aibu. Hawa nyumbu watarudi tena London lakin safari hii watakuwa pale Darajani..
Hivyo tutafuta Ainu yenu yote na kufanya muwe vizuri, maana ninyi ni sehemu ya familia ya Chelsea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man United nyie ovyo sana sasa nyie ndo mnatoka kwa taarifa yako tunashinda.Arsenyoko hamtoki kwa Cardiff leo
Mateja katika ubora wenu mnafarijiana.Mchezaj amalilia kuja arsenal,
Ingekuwa kuja darajan mngeshahusishwa nae hata,
Chelsea sasa hiv ndio mahal pakupoteza muda, ngoja nijenge timu, ila ukikutana na mm nakuwasha
Ww msubir manyumbu umkung'ute
Sent using Jamii Forums mobile app
+ cahillKabla dirisha halijafungwa, tutashusha nyundo mbil
Persic
Denis suarez
Tukutane top 4 na europa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahahahahahahahaha