Juve mwenye uhakika na namba ni Ronaldo na golikipa ataenda kupambania namba kuongeza kikosi kipanaMbona mpunga wa kawaida sana?Almost €115k per week!siamin kama Arsenal wameshindwa kulipa kiasi hicho?
Anaenda kusugua benchi maana sioni mchezaji ambae anaweza kumueka benchi kwa pale kati Juve na nikiangalia age yake nahisi anaenda jimaliza tu
Huyu ni kiungo ila uwezo wake siujui vzrDi Marzio journalist from italy huyo huwa hadanganyi , huenda dili likakamilika mapema , tusubiri tuone,
Je mnamzungumziaje huyu mtu kama akija kwenye squad yetuView attachment 986357
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo ni mpambanaji sana . itakuwa poa sana akitua.Di Marzio journalist from italy huyo huwa hadanganyi , huenda dili likakamilika mapema , tusubiri tuone,
Je mnamzungumziaje huyu mtu kama akija kwenye squad yetuView attachment 986357
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, barca wamekubali kumuuza, tena wamemwambia achague kubaki barca ambako hana namba kikos cha kwanza ,au aende kat ya arsenal au chelsea , yeye kapenda arsenalKwa clip nilioiona ya Denis Suarez barca hawatakubal kumuuza uyu mtu
Ana mambo flan iv ambayo neymar alikua anayo na countinho, sasa yapo kwa mtu mmoja
Yan ana dribble mpira uku miguu ikipasiana, anaingia katikat ya mabek, anajaribu kushut nje ya box, penetrating pass yupo vyema na pia anakaba sasa barca wanamuuzaje uyu mtu
Mara ya mwisho barca alifanya hvyo kwa fabregas ambae kipaj chake hakikuonena ila uyu D.Suarez mimi binafsi ntakua wa mwisho kuamini
Barca wanamuhitah D.Suarez zaid ya arsenal
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah inasikitisha mbyAron ramsey leo amethibitisha kusain dili na juventus kwa kipindi cha miaka mitano
Ramsey:Nimekuwa hapa kwa kipindi cha miaka 10 nazani hakuna mchezaji ambae amedumu kwa muda kama niliokaa mimi ndani ya arsenal ambae yupo hadi sasa..napenda kila kitu ndani hii klabu nimeanza kucheza timu ya vijana pamoja na kina theo (walcott) oxlade chamberlain hadi kuitwa timu ya wakubwa 2008 nikiwa na miaka 17 hivi sasa nina miaka 27 napenda kuwashukuru mashabiki pamoja na viongozi wa arsenal kwa sapoti yao kwangu
Arsene wenger kwangu ndie mtu nitakae mkumbuka katika maisha yangu yote alinitoa kule kwetu wales had england nikiwa nina miaka 14..Tumekuwa pamoja kwa muda mrefu sana katika furaha na karaha nakumbuka mwaka jana kabla hajaondoka aliniambia nibakie arsenal ili nami niwe legend km denis bergkamp henry na rosicky lakini nasikitika hilo haliwezi kufanikiwa
Nazan kocha wa sasa hv ana falsafa zake ambazo hazinihitaj mimi na baadhi ya wachezaji
Ila mimi nitakuwa balozi wa arsenal na nafikiri ipo siku nitarud tena hapa kwa mara nyingine tena
AHSANTENIView attachment 986235
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona bei yake ni ndogo sana?Ntakuwa wa mwisho kuamin kwenye hili, at the time naombea ili dili lifanikiwe kwelView attachment 986901
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nakuwa wa mwisho kuamin wewe uwe wa pili kutoka mwsho kwenye huu usajiri
Vipi kiwango chake kinaridhisha maana hawa wachezaji wa £20 mimi huwa napata mashaka sanaNdio maana nakuwa wa mwisho kuamin wewe uwe wa pili kutoka mwsho kwenye huu usajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa shaka huyo ni Fundi.Vipi kiwango chake kinaridhisha maana hawa wachezaji wa £20 mimi huwa napata mashaka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu anaujua mpira tena anaugonga mwingi,Vipi kiwango chake kinaridhisha maana hawa wachezaji wa £20 mimi huwa napata mashaka sana
Sent using Jamii Forums mobile app