Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Na mancity alicheza vizuri pia dhidi ya crystal palace ila akagongwa.Ila akashinda , halafu chelsea akacheza vzr dhid ya lei akagongwa 1 cha nguruwe
Futa yako kwanza.Hayo mawazo yako unatakiwa uyafute kwanzia sasa..
Hana ubavu huo hata akiweka ss tutaweka mengi zaidi.Atakuja kuweka pia apo Emirates,
Wa kujiua wewe kakojoe ulale uwahi kwa bibi yako.Ntajiua akiamia timu ambayo hata ndoto ya kushirik UEFA haina
Kwa mambo ya usajili huyu kocha hana wenge kama babu.#Breaking_News Kulingana na taarifa kutoka Espain timu ya Arsenal tayari wamefikia makubalino na Sevilla juu ya kumsajili Ever Banega pamoja na beki wa Real Valliadolid Fernando Calero amabae anapatikana kwa kiasi cha £10m.
Sevila wamewambia Arsenal walipe kiasi cha £18m ili wamnase kiungo iyo ambae anaonekana kuvutiwa kufanya kazi na Unai Emery.
Adi sasa mazungumzo yanaenda vizuri kupitia wakala wa wachezaji.
Pamoja na timu zote mbili dili inaweza ikawa Official pindi dirisha la usajili litakapo funguliwa January.
Tukumbuke huu utakuwa ni usajili mzuri sana endapo tu km utakamilika mapema.
Ila cha msingi ni kusubiri pindi dirisha litakapofunguliwa january na lolote linaweza kutokea.
Aaaa usipanic sasaWa kujiua wewe kakojoe ulale uwahi kwa bibi yako.
Huyu ni beki au kiungo
umekurupika usingizini nini mkuu?Wote walikuepo kwa SOTON
fi hana uhakika wa kuanza leo mkuu......tunaweza kuendelea kumuona xhaka katika backline ila tusubiri official lineupBrighton leo afe kipa afe beki anakufa
Emery naomba leo usimpange toreira , hii game tunashinda
Muweke kiporo toreira dhid ya liver tar 29
Predicted line up today if 4-2-3-1
Leno
Niles sokratis mustaf kola
Mateo xhaka
Ozil iwobi. Auba
Laca
kiungo moja hatari sana ........Huyu ni beki au kiungo
zuwena zubeda amekugonga 2 mtungi UCLSoton amekugonga epl
ndio maana Fekir aligoma kuhamia timu ambayo haijawahi kubeba EPLNtajiua akiamia timu ambayo hata ndoto ya kushirik UEFA haina