Ww una kiungo cha kucheza na zuwena zubeda ...
Njoo na fabinho wako uone moto, siku ile emirates mliomba poo
Tarehe 29 ni kipigo tu
Mbona zuwena zubeda alikugonga ,au umemsahauOna sasa unaongea pumba
SOTONI KAKUGONGA UJE UDINDE KWANGU NTAJIUAA AISE
MSIMU WENU WA KUJIUA UMEFIKA
Kwan ww umekufa mara ngapi, ?Hahaha, nachokukubali ni kwamba hukosi cha kujitetea, na baada ya 2007 umekufa mara ngapi?
Ushakula 6 hapo hapo anfiledHahaha, nachokukubali ni kwamba hukosi cha kujitetea, na baada ya 2007 umekufa mara ngapi?
Ww una kiungo cha kucheza na zuwena zubeda ...
Njoo na fabinho wako uone moto, siku ile emirates mliomba poo
Tarehe 29 ni kipigo tu
Kwan ww umekufa mara ngapi, ?
Eti ulizid kila kituKivipi tuliomba poo wakati wee tulikuzidi kila kitu kasoro useless possesion tuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Last time Anfield ulikaa nne bila hali ya kua Ginni akiwafanya Xhaka na Ramsey kama ma toy
This time utarudi London unchenjegua,Na kuhusu Top Four usahau kabiiisaa Chelsea na Spurs ndio anatukamilishia Top Four yetu
MIND THE GAP
Soton kasha kuoa msubir mahal ya brighton labda muikataeMbona zuwena zubeda alikugonga ,au umemsahau
Ww utafurahia sasa hiv, ila tunajua EPL hubebi
Hata game ya emirates mlitamba hivo hivo ,Utanijibu siku hiyo baada ya kufungwa.
Tar 29 si mbali.
Ww hata usipifungwaSoton kasha kuoa msubir mahal ya brighton labda muikatae
Jitekenye tuWw hata usipifungwa
Epl hubebi,
Labda kama umeanza kuijua Liver leo
EPL utabeba wewe msimu huu, Me Nimezungumzia Mkazo wa SOTONBas unahis ushabeba EPL,
Uzur tuna uhakika EPL hambebi hata mshinde all 38 games
2007 mbali sanaHapo anfiled nishawahi kukuweka 6
Mwaka 2007
Subir hiyo tar 29 mtajipiga ban
4-12007 mbali sana
Uliwekwa 5 mwaka 2014 anfield
Ukawekwa 4 2016 Emirates
Ukawekwa 4 kavu 2017 Anfield
Trh 29 sijui utawekwa ngapi[emoji23]
Kumbe unajua EPL hubebi, unakuja kupiga kelele humu za niniEPL utabeba wewe msimu huu, Me Nimezungumzia Mkazo wa SOTON
Et ulipanga kikos kibovuJitekenye tu
29december z coming soon
Ushapigwa sana liverpool hatutotumia nguvu nying kwa sasa ile siku ulipangiwa wrong line up watu waka play role sio zao sasa unajiona tyr ushakomaa unaweza tufunga
Njoon anfield mtajua ukwel
Endelea kupiga ramliGlenn Murray jamani kesho anawatoboa jiandaeni kisaikolojia