Ukweli game ya palace tulionewa sana na refa hii ya woves kusema kweli ni kitimu kigumu sana msimu huu. Kinasumbua timu nyingi.
Pia usajili dirisha dogo tupate beki. Idara nyingine zipo safi.
Arsenal ni moja kati ya timu yenye fanbase trusting spirit kubwa muda wote duniani
Nafikiri Hatujapoteza mchezo mpaka sasa
Na tunamwalimu mgeni lakini kwa kinachoonekana mpaka sasa kulinganisha na wote huyu wa sasa najivunia nina imani na najua atarekebishaje mambo