UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Na kwa Arsenal fan tunafurah sabubu Arsenal ya jana na Liverpool sio Arsenal ile ya last season walipokutana na Liverpool. So far kwetu tayari inatengeneza picha ya washindani so jitafakari upya kila unapokuja huku.Tufanye upo sahihi sijengi hoja yoyote hapa
Na kwa Arsenal fan tunafurah sabubu Arsenal ya jana na Liverpool sio Arsenal ile ya last season walipokutana na Liverpool. So far kwetu tayari inatengeneza picha ya washindani so jitafakari upya kila unapokuja huku.
Uko sahihi timu yako ya Liverpool itavuna point zote 3 mechi za Nyumbani. Wakati fulani hata draw unaangalia na ubora wa mechi husika na kusifia ikibidi.Last season at Emirates Stadium:
Arsenal 3 - 3 Liverpool
This season at Emirate Stadium:
Arsenal 1 - 1 Liverpool
Kilichotokea Jana sio kitu kipya! Kama Arsenal ya Last Season imebadilika sio hii ya sasa lakini Matokeo Ni yaleyale ya Draw unahitaji kujitathmini upya.
Enewey upo sahihi.
Sisi kwetu ni kipya hasa kwa kocha ambae tunae miezi na kikosi cha pesa madafuLast season at Emirates Stadium:
Arsenal 3 - 3 Liverpool
This season at Emirate Stadium:
Arsenal 1 - 1 Liverpool
Kilichotokea Jana sio kitu kipya! Kama Arsenal ya Last Season imebadilika sio hii ya sasa lakini Matokeo Ni yaleyale ya Draw unahitaji kujitathmini upya.
Enewey upo sahihi.
Huyo kachukia kupata draw na Gooooner wanadhani Liverpool is the best team now kwamba itashinda tu....Sisi kwetu ni kipya hasa kwa kocha ambae tunae miezi na kikosi cha pesa madafu
Akienda hivyo ataumia sana binafsi hii game nilitamani sana tushinde sababu ilikua kipimo changu kwa mwalimu lakini sijajiridhisha na matokeo bado nahitaji mechi kubwa nione matokeo yatakuajeeHuyo kachukia kupata draw na Gooooner wanadhani Liverpool is the best team now kwamba itashinda tu....
Uko sahihi ushindi ni Muhimu. Lakini Fans wengi walidhani Arsenal itakuwa underdog kutokana na usajli uliofanyika. Lakini trend inaonyesha the opposite. Muhimu zaidi ni kupunguza hizi draws....Akienda hivyo ataumia sana binafsi hii game nilitamani sana tushinde sababu ilikua kipimo changu kwa mwalimu lakini sijajiridhisha na matokeo bado nahitaji mechi kubwa nione matokeo yatakuajee
Sure thing but natamani nione Arsenal tena na timu wanazoziita World class unajua namfatilia huyu mwalimu kwa karibu sana nataka niweze kuongea kitu kuhusu mfumo wake game plan na kila kitu. Nataka nimuone sehemu zote angle zote actual ameleta hope flani ila natamani kuona his consistecy toward his revolutionUko sahihi ushindi ni Muhimu. Lakini Fans wengi walidhani Arsenal itakuwa underdog kutokana na usajli uliofanyika. Lakini trend inaonyesha the opposite. Muhimu zaidi ni kupunguza hizi draws....
Sisi tunacho jivunia ni progress tunayo ionyesha toka tuliko kua na tulipo sasa, mabadiliko n makubwa ata ww umeyaona. Timu ina fight mpaka mwisho sio kama zama za mzee wenger so tuna jivunia hilo.Ingelileta maana zaidi hapa kama post zenu zingeonesha masikitiko kwanini Mumedraw uwanja wa Nyumbani kuliko kusifia Kiwango kwa Kutoa Sare uwanja wa nyumbani.
Changamoto moja ya timu kubwa ni viwanja vya ugenini kwenye mechi kama hizi.
So, ukidrop points kwenye Home ground Ni tatizo kwa Timu kubwa Kwani ukienda Away usidhani kuwa Utaperform kama Nyumbani.
Arsenal fans are not celebrating a draw, they’re celebrating a change in mentality and that we’re already competing only 6 mths into Emery’s reign as manager, Liverpool and Klopp have had 3 seasons, 6 transfer windows, and over £300m spent on players, pretty simple ladsIngelileta maana zaidi hapa kama post zenu zingeonesha masikitiko kwanini Mumedraw uwanja wa Nyumbani kuliko kusifia Kiwango kwa Kutoa Sare uwanja wa nyumbani.
Changamoto moja ya timu kubwa ni viwanja vya ugenini kwenye mechi kama hizi.
So, ukidrop points kwenye Home ground Ni tatizo kwa Timu kubwa Kwani ukienda Away usidhani kuwa Utaperform kama Nyumbani.
*GAME YA ARSENAL VS LIVERPOOL*
Mechi ilikuwa Very Tactical Kuanzia Dakika ya Mwanzo wa Mchezo Hadi Mwisho
*Arsenal* Walikuwa Vizuri Sana Kwenye Kuanza Mipira Nyuma na Kupiga Pasi za Haraka Pamoja na Kupitia Pembeni
*Saed Kolasnac na Héctor Belerin* Wameongeza Strength Katika Eneo la Mashambulizi ya Kupitia Pembeni
Mohamed Salah,Sadio Mane na Roberto Firminho Walikuwa ni Hatari Sana Kwenye One Against One,Mipira ya Kupitishwa na Break Through
Kwangu Mimi *Vrijl Van Dijk* Beki wa Kati wa Liverpool Ndio Kikwazo Kikubwa Cha *Arsenal* na Kwangu Mimi Ndio Mchezaji Bora Katika Mechi Hii.
*Substitution* ya *Saed Kolasnac* Kuingia *Dany Welbeck* Timu ilicheza ikiwa na Mabeki Halisi Watatu Nyuma Wakiwa na *Backup* ya *Iwobi Upande wa Kulia na Lucas Torreira Katikati* na Hata *Subscription's* ya *Xhedan Shaquir* ilikuwa ni Kwa Lengo la Kumbana *Saed Kolasnac* Asishambulie Upande wa Kushoto na *Emery* Alifanya Uamuzi wa Kumtoa *Saed Kolasnac* Kwa Lengo la Kuongeza Watu Katika Eneo la Katikati ya Uwanja na Pia Aliona Balance ya Liverpool ni Ndogo Katika Kukaba Eneo letu la Ulinzi Kutokana na Kumtoa *Roberto Firminho* Ambaye Kiuhalisia Yeye ni Natural Central Striker
Nilitoa *Makadirio* Madogo ya Ushindi wa *Arsenal* Hapo Jana Kutokana na Changamoto ya *Majeruhi* Katika Eneo la Mabeki wa Pembeni.
Binafsi Naheshimu sana UNAI EMERY ni Master wa Tactics na Nawapongeza Arsenal Wenzangu Wote kwa Kuiunga Mkono Timu ya Arsenal
Timu Yetu ina Imarika Kila Kukicha na Liverpool Ndio Timu Tishio zaidi EPL na Naamini Kwa Uwezo Huu Tutavuna Point Nyingi Katika Mechi zinazokuja Dhidi ya *Manchester united,Chelsea,Spurs,Watford,Liverpool na Tottenham*
Ni kukariri tu, maana man u huwa hachez kabisa kwa arsenal kama msimu uliopita game nzima ana defense ,Nataka Niwaangalie Kama ule ugonjwa Wa Man United bado mukalinao manake Hata muwe wazuri vipi basi kwa Man United huwa kama muliorogwa.
Ni kukariri tu, maana man u huwa hachez kabisa kwa arsenal kama msimu uliopita game nzima ana defense ,
Napiga shut on target 14 ,
Na nashangaa mnaosemaga hivo, msimu wa juz nimempiga hapo OT FA robo, kwenye lig anakula 3-0
Ni kwel huwa ananisumbua lkn sio ki mpira ni kupaki bas sana,
Ni sawa na mech yenu ww na man u, mimi huwa siamin kama anawasumbua ila huwa anafanya kile kile anachokifanya kwa arsenal,
Kubaki nyuma kusubiri miujiza ,
Nakumbuka nilikuamvia Cech harudi tena kama first choice, Leno anatosha sana golini, yupo composed sana, anacheza na miguu vizuri na reflex nzuri tu.Timu nzima imecheza vzuri sana Nimekuwa nikimpondaga sana Xhaka ila kiukweli leo amecheza vzuri sana amenifurahisha kila mtu kacheza vzuri...mdogo wangu Rob Holding sijui analekea level gani ya beki sio mbaya kuchukua point 1 coz liverpool nao ni timu nzuri...tuombee majeruhi wetu warudi haraka...hope tutaendeleza huu moto next games...Unai Emery bonge la kocha aiseeingekuwa wenger hii tungelala sio chini ya goli 3 ntakuwa mchawi nisipomtaja Torreira yeye na xhaka wamechezs vzuri mno wamewaficha yule mholanzi na fabinho...mustafi solid performance leo safi sana leo katakata Bellerin katakata leo Ozil na Laca na wengine Leno wamecheza vzuri sana saves kali sana leo za Leno simwoni cech kwenye hii timu tena january tuongeze winga kwanza.
Kweli kuhusu morden football ,leno yupo vzr sana hasa mipira kuanzia nyuma kwenda katikati na kutengeneza mashabulizi,Nakumbuka nilikuamvia Cech harudi tena kama first choice, Leno anatosha sana golini, yupo composed sana, anacheza na miguu vizuri na reflex nzuri tu.
Cech abaki veteran tu kuongeza ujuzi.
Midfield ya Torreira na Xhaka ni solid sana, huyu Toreira ndio mchezaji arsenal-fc walimhitaji mda mrefu.
Binafsi left back ina shida naona, labda kwa vile Saed alikuwa majeruhi kwa mda mrefu, lakini tunamkosa sana Nacho, januari ni vizuri kuangalia upande wa beki ya kushoto.
Rob anaonyesha kuwa sasa hata Laurent anaweza kuuzwa(he's 33 hivyo akiwa hapo ni experience tu) ila nguvu za kucheza competetive football game 50 kwa msimu hawezi.