Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bi muda mrwfu sana sijamuona Mesut Ozil akiwa kwenye kiwango bora kama game ya leo. Kweli Unay Emery kaibadili hii team. AW alikuqa anatuzingua sana.
 
Kwajins ambavyo wamecheza arsenal leo unaweza ukazani mpira ni kitu rahisi sana na kesho ukaamka unaenda kariakoo kununua viatu na jezi ukaanza mazoezi kumbe shughuli ni nzito hongera unai emer kutuletea burudani leo nimeinjoy
 
"Mikitaryan njoo upumzike, Iwobi nenda right side wing, Lichsteiner njoo upumzike,Xhaka nenda left back, Gundi rasta sogea duarani ongeza nguvu ya pasi zenye vision, Auba katie mpira nyavuni"...

Unai Emery is a tactical genius


#VivaUnai

#ComeOnArsenal
 
Subs zilitulia..Unai analeta kitu kimoja kizuri sana Arsenal..

Lacazzete awe serious na goli..Anakosa sana nafasi za kutupia..
 
ulipigwa msako mpaka Jamie Vardy akashikwa na tumbo la kuhara akakimbilia chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…