Huo Ni Mchanganyiko wa Matokeo Moaka ya Carabao na FA bro...
Hapa Tulikuwa Yukijadili EPL tu.
Lakini ukiangalia EPL hapo basis wewe umeshinda Michezo 6 Mimi Nimeshinda Michezo 4.
Hata Hivyo Hongereni Kwa Kufuta uteja.
Boss hii statement yako ilinistua
''Iwapo umeangalia Mpira Kuanzia 2005 ndiyo utasema Maneno hayo..
Lakini Kabla Ya Hapo Arsenal ilikuwa ikikutana Na Liverpool kazi Yake Ni Kuokota Mipira Nyavuni tu.
Arsenal Ndiyo Timu Pekee Uengereza iliyofungwa na Liverpool Miaka 8 mfululizo tokea Kuanzishwa Kwa EPL mwaka 1992.
See below ↓↓:' na hiyo screenshot niliyokutumia ni ya kutoka 2000 - 2006 ambapo katika match 18 umepata 3 draws, na umeshinda 4 tu!! hebu jaribu tene kunitafsiria hii *Lakini Kabla Ya Hapo Arsenal ilikuwa ikikutana Na Liverpool kazi Yake Ni Kuokota Mipira Nyavuni tu*
Mwanzo Wa Hiyo Post ilianza na Mjadala Wa Game yetu ya EPL.
Kwahiyo hapo nikaendelea Kuquote EPL tu.
Usinilazimishe Niaccept Mawazo yako.
siyo mawazo yangu boss!!
screenshot niliyokutumia ni ya kutoka 2000 - 2006 ambapo katika match 18 umepata 3 draws, na umeshinda 4 tu!! hebu jaribu tene kunitafsiria hii *Lakini Kabla Ya Hapo Arsenal ilikuwa ikikutana Na Liverpool kazi Yake Ni Kuokota Mipira Nyavuni tu*
next time uwe equiped na data kabla ya kuropoka!
Wacha Kujifanya Mjuaji Wakati Mtu mwenyewe umedandia Gari Njiani tu Kwenye huu mjadala.
Hujafikia Kiwango Cha Kunishauri Mimi nije na data Wakati Maneno yangu tu Kwa mtoto kama wewe Ni Data tosha.
Ilianza Hivi ↓↓
View attachment 893071
Sasa Hapo Nioneshe Matokeo Ya Carabao, Ngao au FA.
Then, Mimi Nikaendelea hivi ↓↓
View attachment 893088
Hapo Nimezungumzia Game za EPL tu na si Mickey Mouse Cup.
Then AkaniQuote hivi ↓↓
View attachment 893091
Mimi Nikamjibu Tena Hivi Kutumia Screenshot Za Baclays. ↓↓
View attachment 893095
Kwahiyo Hapo usitake Kujifanya Unajua Zaidi Kuargue na Watu!!! Angalia Argument ilipoanzia na Sababu ya Kuanza sio Univamie tu.
END OF ARGUMENT..
You can continue but expect nothing about my response.
0768636769Ngoja nifanye mpango niwaad whatsapp
Ok0768636769
Mi pia nimekucheki pm tafadhali ni add
Mkuu Kocha anatakiwa aongeze ukali kwa wachezaji plus mazoezi ya kufa mtu hakika tutasonga mbele.Mazoezi yanaendeleaView attachment 893593
Nimeshawakilisha namba kwa adminMi pia nimekucheki pm tafadhali ni add
ShukraniNimeshawakilisha namba kwa admin
Ndoto ya asubuhi hii. Ila kila mmoja anayo haki ya kutoa maoni yake haata yakiwa fake Kama ya wale majamaa wa majogoo.
Game tano epl bila kufungwa tayari umeshatabiri kuchukua Epl.