Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mzee inaelekea haya mambo hukuyategemea enh? It emerges as a surprise to you!
 
Tatizo hamkutarajia ,mlidhan wenger kaacha timu mbovu,subirin soon mtaelewa kuwa tunautaka ubingwa sasa
Wewe ndo hukutarajia, maana baada ya kushinda umeanza kuzurura kwenye threads za other teams. Cool down brother.
 
Unaongelea mafanikio ya Klopp au ya klabu?
 
Unaongelea mafanikio ya klabu ama kocha?? Leta mafanikio ya Arsenal na Liver hapa. So unaanza tokea ... tokea...
Hata kabla ya klopp bado mlikuwa na ukame, ,

Japo klopp kaja kuuendeleza tu

3 years ago today, Liverpool FC named Jurgen Klopp as their new manager.

Since then:
*2015/16: UEFA Europa League runner-up.*
*2017/18: UEFA Champions League runner-up.*

*Carabao Cup Runner up,, we can call him Mr Runner up.*
JK wa 3
 
Boss hii
 
Kuna kitu nakiona kwa huyu fundi

Ataleta competition ya namba Kule mbele na pia tutakua na mtu mwenye kasi na mashuti muda wote kama ilivyo sifa ya washambuliaji kutoka America

Ubingwa msimu huu unawezekana kama wachezaji watakomaa kila mechi maana mpaka now tumepoteza game mbili tu na ni game ngumu....Ukiangalia balance ambayo ipo sasa na ushindani wa namba naamini kuna kitu UNAI EMERY anafikiria

JANUARY TRANSFER WINDOW
Yes hapa SVEN MISLITANT naamini ana target yake kubwa na naamini bodi imeshamuahidi kumpa anachotaka naamini tutaletewa wapambanaji

LACAZETTE
Nina imani atanipa 20 goals msimu huu kama ataendelea na moto huu alio nao na kama majeruhi yatampitia mbali pia

Mmmmmhhhh labda ni mawazo yangu tu ngoja tuone...

Ila Jaribu kufikiria je..? Unai na Sven wamekuja kuuza sura Arsenal..?
Je..? Unai anapenda kutukanwa na mashabiki...?
Je..? Unai hayataki mafanikio..?

Ukipata jibu mpe muda.......

Ila zile nafasi tatu za juu 1,2 au 3 moja wapo ni nafasi yangu MWANA ARSENAL

VIVA GUNNERS
VIVA UNAI EMERY
GO GO GO UNAI
#COYG
 
Mkataba wa Adidas ,sasa Arsenal inakuwa inapata £60m ,kwa mwaka ,watakaotuzid kwa EPL ni man u ,tu

Chelsea na yy anapata kama yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…