Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani tungekuwa tayari tushawagonga tano, mipochi minne ya wazi kabisa.
 
Mgiriki Sokratis ndiye anayeifanya defense kuwa mbovu sio Mustafi. Kwa maana nyingine Mustafi na Sokratis hawaelewani.
 
Mgiriki Sokratis ndiye anayeifanya defense kuwa mbovu sio Mustafi. Kwa maana nyingine Mustafi na Sokratis hawaelewani.

Msajilini Titus Bramble atawamalizia tatizo lenu

Hii mechi ya leo mngepata hata point moja kama nafasi za kipindi cha kwanza mnezitumia vizuri na beki yenu ingekomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…